Maneno ya Dkt. Bashiru ni shambulizi kwa Rais Samia na yenye ajenda ya siri. Aitwe haraka na kuhojiwa na chama

Kwa mawazo yangu, kila nafasi inaenda na wajibu mahususi!! Mtu akikubali nafasi fulani ina maana anakubaliana na wajibu unaohusika kwenye nafasi hiyo!!! Mtu anapotekeleza wajibu wake kwa mujibu wa nafasi yake hawezi kudai sifa kinyume chake inabidi ashukuru kwa kupatiwa hiyo fursa ya kuwatumikia wananchi maana angeweza kupatiwa mwingine na akatekeleza wajibu wake huo huenda vizuri zaidi. Kwa mantiki hiyo mtu yeyote hana haki ya kudai sifa anapokuwa anatekeleza wajibu wake, kiasi cha kutishia wale ambao hawaoni ulazima wa kumsifu kwa kutekeleza wajibu na majukumu yake!

Japo siyo dhambi kama mtu akaamua kumsifu mtu kama njia ya kumtia moyo kwa kutekeleza majukumu yake vizuri, ila asidai na asinune kama ikatokea hajasifiwa!! Isiwe issue kwamba amesifiwa au hajasifiwa!! Ila ni issue kama hajatekeleza wajibu wake! Kila mwenye nafasi katika jamii ana wajibu wa kimaadili wa kutekeleza majukumu yake bila kudai chochote mbali na mshahara au posho yake!! Wakati wa kuomba kura huwa ni wanyenyekevu sana na huahidi kuwatumikia kwa moyo wote wananchi, itakuwa ni ajabu tukafika mahali tukaanza kudaiana sifa kwa nguvu na vitisho eti "aitwe ahojiwe" ebo!!!! MWASHAMBWA SOMA HIYO!!!

Wajibu wa mheshimiwa ni kutekeleza ILANI YA UCHAGUZI YA CHAMA CHETU!! Anapofanya hivyo anaonesha uaminifu kwa wananchi kwa kutekeleza yale aliyoahidi kwenye kampeni ya uchaguzi!!!
 
Mh Rais ametekeleza vyema kabisa Yale yaliyo katika ilani ya chama chetu na anaendelea na utekelezaji wake kwa kadri ya uwezo wake ndio sababu ya kumiminiwa sifa na pongezi kutoka kwa Wananchi wanaotumikiwa na mh Rais. Sasa kwanini wananchi Hawa wanaoona kwa macho yao kazi njema iliyofanywa na mh Rais na kutoa pongezi na sifa kwa hiyari yao wazuiwe kufanya hivyo? Kwanini wakatishwe Tamaa? Kwanini waambiwe wasimpongeze kiongozi wao? Huoni huko ni kutaka kumkatisha Tamaa Mh Rais?
 
Hayo aliyotoa Bashiru ni mawazo yake binafsi! Hata kama si mawazo mazuri kwa mtazamo wako lakini bado hajavunja sheria yoyote kutoa mawazo hayo kama raia wa Tanzania. Hajamtishia mtu kuwa atamwita kumhoji kama akimsifu mheshimiwa!!! Mpaka hapo yuko sahihi kwa mujibu wa mawazo yake hayo ambayo hullazimiki kuyakubali!! Tatizo lako ni kwamba wewe unalazimisha awe na mawazo kama ya kwako kiasi cha kumchongea aitwe na ahojiwe! Tukianza kuhojiana kwa kutoa mawazo hapo tutakuwa tumeingia kwenye utawala wa KIDIKTETA!!! Silazimiki kumsifu mtu anayetimiza wajibu wake vizuri ila nalazimika kumhoji mtu asiyetimiza wajibu wake vizuri!!
 
Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe

Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu mkuu mstaafu wa CCM na katibu mkuu kiongozi mstaafu yamekuwa ni maneno yakushangaza na kusikitisha, yamekuwa ni maneno yaliyowashitua wengi,yamekuwa ni maneno yaliyo washangaza wengi, yamekuwa Ni maneno ambayo hayakutegemewa kutoka katika kinywa Cha mtu Kama Dr Bashiru, Yamewashangaza na kuwakeraa wengi, kuwasononesha na kuwakatisha Tamaa.

Ni maneno yaliyoonesha chuki Binafsi kwa mh Rais, Ni maneno yaliyoonesha kuwepo kwa Ajenda ya Siri nyuma,Ni maneno yaliyoonesha uwakilishi wa kakikundi fulani nyuma yake, Ni maneno yaliyo kuja Kama kupima upepo, ni maneno yaliyo kuja kumkatisha Tamaa Mh Rais, ni maneno yaliyokuja kuwagawa wanachama, ni maneno yaliyolenga kumvunja moyo mh Rais, ni maneno yaliyokuja kana kwamba Ni mtego wakutaka kutambua mtizamo wa chama na wananchi, Ni maneno ya kuleta Taharuki. Ni Maneno yaliyokuja Kama kutoa ujumbe au kufikisha ujumbe au kuleta picha fulani Au kutunisha misuri au kutisha japo huwezi ukaitisha Taasisis ya Urais hata siku moja

Hakika Ni Shambulizi kwa Rais, Ni kombola lililorushwa ili kusikiliziaa Nini kitatokea litakapotua, Ni Shambulizi la makusudi lenye lengo maalumu na ajenda maalumu, Halijatokea kwa bahati mbaya na Kama Kuna mtu Anawaza hivyo Amini Nawaambieni kuwa atakuwa anajidanganya, atakuwa hajawaza vizuri,atakuwa amejipa jibu la bila kufikiri kwa kina na kuelewa maana ya kauli hiyo, atakuwa hajatafakari kwa undani wa kauli hiyo. Ni kauli ya Hasira toka kwenye moyo wenye hasira kinyongo na chuki,siyo kauli ya kawaida kutoka kwa kiongozi aliyefikia ngazi ya juu kiuongozi ndani ya chama na serikali na anayepaswa kuwa mnyenyekevu,mtiifu,mwenye kifua Cha Siri, na mwenye kuchungu ulimi wake hasa kwa kutambua kuwa Ni mtu aliyekuwa anafahamu Siri nyingi na mipango mingi ya chama na serikali kutokana na nafasi za kiuongozi alizokuwa nazo, Ni mtu anayepaswa kuheshimu mamlaka na kukosoa kwa staha na kufuata utaratibu ambao hauwezi kuleta Taharuki kwa jamii.

Ndugu zangu iweje kosa kumpongeza mh Rais? Iweje nongwa kumsifia mh Rais kwa kazi nzuri na njema alizozifanya ndani ya muda mfupi? Kwanini asipongezwe? Kwanini asisisfiwe anapofanya vizuri? Kwanini iwe dhambi kumtia moyo na kumpa faraja mh Rais ya kusonga mbele?

Ndugu zangu Wakulima wa nchi hii watashindwaje kumpongeza mh Rais wakati wanaona kazi kubwa na juhudi za mh Rais katika kuwainua kiuchumi na kuwakwamua kutoka katika umaskini? Wakulima waliokuwa wananunua mbolea ya DAP laki na 40 msimu uliopita watashindwaje kumpongeza nakumsifia mh Rais wanapoona msimu huu mbolea hiyo hiyo Ya DAP ya Ruzuku inapatikana kwa Elfu 70 tu? Wakulima watashindwaje kumpongeza na kumsifia mh Rais wanapoona Sasa wanafaidika na jasho lao baada ya kuwa Bei ya mazao Ni nzuri Tangia wakati wa mavuno? Kwanini wasimpongeze? Ni vipi iwe kosa na kero kumpongeza? Kwanini mtu aumie na pongezi hizi kwa mh Rais? Nini kinachomuuma kwa Rais kupongezwa na kusifiwa? Je anataka kusikia Rais akishambuliwa na maneno mabaya? Au anataka Rais azomewe? Au hafurahishwi na mafuriko ya mapokezi anayoyapata mh Rais kila apitapo na kufika kwa wananchi kuwasikiliza huku akisifiwa na kupongezwa kwa usikivu wake?

Wazazi wanaosomesha watashindwaje kumpongeza mh Rais? Watashindwaje kumsifia mh Rais baada ya kutuliwa mzigo wa kulipiwa Ada watoto wao mpaka kidato Cha sita? Watashindwaje kumshukuru wakati wanaona matumaini ya watoto wao Kuendelea na masomo yao? Watashindwaje kumpongeza wanapoona watoto wao wakiendelea na masomo bila kikwazo Wala kuchangishwa mamichango licha ya uduni wa maisha Katika familia zao? Watashindwaje kupiga magoti kumuombea Afya njema mama huyu mzalendo wa kweli na kipenzi Cha watanzania?

Wanafunzi wa Elimu ya juu watashindwaje kumpongeza na kumsifia Rais wao hasa baada ya kuona ndoto zao zikitimia bila shida baada ya kuwa wote wenye sifa wamepata mikopo na kuruhusiwa kupokelewa vyuoni na Kuendelea na masomo yao? Kwanini wasimpongeze? Wangapi wamewahi kushindwa kufikia ndoto zao za kupata Elimu ya juu kwa kukosa mkopo? Wangapi wameteketeza Mali zao Kama ardhi kwa kulipia Ada sekondari Hadi vyuoni watoto wao nikiwepo Mimi Kama mfano wa kuuzwa kwa ardhi nilipokuwa nasoma ili kulipia ada? Wangapi wamekwama njiani kwa kukosa Ada vyuoni? Kwanini leo hii wasimpongeze mh Rais wanapoona wanapata mikopo na kutimiza Ndoto zao

Kuna Nini nyuma ya Dr Bashiru? Kwanini anataka apandikize chuki kwa watanzania? Kwanini anataka kuwafundisha watanzania wamchukie Rais wao? Kwanini Hataki Rais Samia Asisifiwe na kupongezwa anapofanya vizuri? Kwanini Hataki?Nini kinamuuma Dr Bashiru mh Rais akisifiwa na kupongezwa? Anataka Nini ili afurahi moyo wake? Haamini kuwa Huyu ndiye Rais wake? Hamtaki Mama Samia? Anataka Nini?Amepanga Nini Dr Bashiru? Yupo na Nani? Ametumwa Na Nani? Kwa ajenda Gani? Kwa mwaka upi? Kwa malengo gani?kwa njia zipi? Kwakutumia watu wapi na makundi yapi?

Anataka kupanda mbegu gani chamani? Kwanini alete Taharuki kipindi hiki? Kwanini hakufanya hivi Huko nyuma? Kwanini iwe Sasa wakati wa mama Samia?Mbona huko nyuma tulikuwa tunaandaa Hadi makongamano ya kumsifu Rais wetu Hayati Dr Magufuli anapofanya vizuri na Wala hatukuwahi kusikia kauli Kama hii kutoka kwa Dr Bashiru? Kwanini inaonyesha amekosa Heshima kwa Mh Rais? Anataka alazimishe Jambo Gani ili kutimiza ajenda Gani na iliyopangwa na Nani na kuongozwa na kuratibiwa na Nani?

Je Ametangulizwa na watu kuja kupima kina Cha maji? Je ametumwa na watu kuja kupata mwitikio wa Rais? Je, anataka kujibiwa na Rais? Je anataka kukigawa chama chetu? Je, anataka kupandikiza makundi? Je anataka kuleta mbegu gani ndani ya chama chetu?

Mbona hajawahi kufanya haya huko nyuma? Mbona hajawahi kuzungumza haya huko nyuma? Mbona hajawahi popote pale kuwakanya watu wasimsifie Wala kumpongeza kiongozi yoyote anayefanya vizuri? Anataka Rais apongezwe na Nani ikiwa watanzania wanaotumikiwa kupitia ilani yetu wameridhishwa na utendaji kazi wa mh na kuamua kumpongeza na kumsifia mh Rais?

Kwanini anataka kumkatisha Tamaa Mh Rais pamoja na wananchi? Kwanini anataka kuwafundisha ujeuri wananchi? Anataka wananchi waipinge serikali yao?anataka waichukie serikali yao? Anataka waikatae serikali yao? Anataka Nani apongezwe? Nani aipongeze? Je, ilani aliyoisimamia mwenyewe anataka Nani aisifie Inapokuwa inatekelezwa vizuri.

Dr Bashiru amemkosea Rais wetu,ameikosea CCM ,ameikosea serikali na ametukosea wananchi. Amuombe radhi mh Rais,chama, serikali na watanzania wote kwa ujumla wake. Awe muungwana katika hili, ajishushe na kutambua kosa lake, ajisahihishe Kama kweli kauli Ile haikuwa na lengo baya na haikuwa na ajenda ya Siri nyuma ya pazia.

Ccm ni moja, wanaccm ni wamoja na chama ni kimoja.Tuendelee kusimama kwa pamoja Kama chama Na Taifa kwa ujumla, tusimame na Mwenyekiti wetu Mama Samia, Tusimuache akishambuliwa Wala kukatishwa Tamaa. Shambulizi dhidi ya Rais Samia Ni Shambulizi kwa chama chetu serikali yetu na Taifa letu kwa ujumla ambalo Hilo ndilo ambalo mh Rais wetu amejitoa na kujitolea kulitumikia kwa uzalendo na kwa dhati ya moyo wake wote

Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
Kumwita Bashiru na kumshambulia ni kinyume na katiba, kwani anahaki ya kuongea mawazo yake bila kutishwa. Mawazo hayo ni yake na wengi wameonyesha kuzungumzia humu jamvini. Nchi imekuwa ya kutukuza viongozi badala ya kuangalia maendeleo na direction tunayoendea, mwananchi anaelipa kodi yake imegeuka ni ya Rias wa Jamhuri na kutumia kodi hii ya wananchi imegeuka hisani ya Rais na ni yeye kutoa huu ni upotoshaji wa hali ya juu. Turudi kwenye mstari, na kusema serikali imefanya hiki na kile, kwa kufuata jinsi wawakilishi wetu walivyoipitisha na sii hisani ya viongozi wala CCM. Nakumbuka kumsikia waziri akisema serikali ya ccm imejenga barabara KM kadhaa je CHADEMA wajenga KM ngapi huu ni wenda wazimu, kodi ilipwe serikali ya CCM na barabara ijengwe na CHADEMA huu ni ufutuhi.
 
Hayo aliyotoa Bashiru ni mawazo yake binafsi! Hata kama si mawazo mazuri kwa mtazamo wako lakini bado hajavunja sheria yoyote kutoa mawazo hayo kama raia wa Tanzania. Hajamtishia mtu kuwa atamwita kumhoji kama akimsifu mheshimiwa!!! Mpaka hapo yuko sahihi kwa mujibu wa mawazo yake hayo ambayo hullazimiki kuyakubali!! Tatizo lako ni kwamba wewe unalazimisha awe na mawazo kama ya kwako kiasi cha kumchongea aitwe na ahojiwe! Tukianza kuhojiana kwa kutoa mawazo hapo tutakuwa tumeingia kwenye utawala wa KIDIKTETA!!! Silazimiki kumsifu mtu anayetimiza wajibu wake vizuri ila nalazimika kumhoji mtu asiyetimiza wajibu wake vizuri!!
Niambie mh Membe,mh Kinana na mh Makamba waliitwa Na mh Dr Bashiru wakati ule kwa kosa lipi? Je hawakuwa wametoa maoni yao tu?
 
Hatujasema kuwa alipowaita alikuwa sahihi!! Naomba kusisitiza kuwa tuongee hoja za msingi na tujadili hoja na si watu!! Hoja ya msingi ni kuwa raia wa Tanzania anayo haki ya kikatiba ya kutoa mawazo yake binafsi ili mradi havunji sheria!!! Mtu yeyote yule akienda kinyume na hilo anafanya kosa bila kujali ni wewe au ni mimi au yeyote!!
 
Mna hari mbaya sana na ndo wananchi washamalizana na nyie na ishakula kwenu hivyo. Kama mtu mmoja kawapasua hivi hao wengine wakija mnapona kweli? hivi nani kawaambia Bashiru ni Bashiru pekee?

Kwa ninavyowaona mmeshachelewa gari na hamkujiandaa kwa lolote, mlilewa mvinyo n haya yamekuja kama surprise kwenu na sasa ni muda wa kupigwa. Poleni kwa kufumwa
 
Dr BASHIRU ametoa maoni kwa mujibu wa katiba ya JMT hajatukana mtu sijaona kosa lake

Hv neno kustaafu au mstaafu lina maana gan

BASHIRU hajawah kustaafu U KM wa CCM Wala u KATIBU MKUU KIONGOZI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bila shaka umeachwa njia panda, hujui ushike lipi uache lipi. Hiyo ndiyo shida ya wanafiki. Huku wataka na kule wataka, yote umekosa. Angalia tu usije ukapasuka msamba.
Nimekwepa kabisa kuingia mtego wa kuwa mfuasi wa mtu kwani huwa anapita kama mchanga wa ufukweni na kubakia historia ndani ya muda mfupi sana.

Uchambuzi wa sera ndio mpango mzima. uchambuzi wa masuala yanayogusa maisha ya mtu mmoja mmoja ndio akili zaidi kuliko kusimama nyuma ya picha ya mwanasiasa leo yupo kesho hayupo.
 
Majawabu ya umeme na maji ndio huu migao?
Tindo ondoa wasiwasi mkuu kuhusu Hilo maana umeona mikakatii ya serikali yetu Katika kukabiliana na changamoto hizo, katika maji umeona mh Rais akizindua mitambo mikubwa ya kuchimba visima virefu vitakavyosaidia kupunguza uhaba wa maji ,hata katika umeme nako Ni hivyo hivyo mikakati inafanyika
 
Ndugu zangu pamoja na kusikitishwa Na maneno ya mh Dr Bashiru nilishindwa kuandika mawazo yangu mapema kutokana na kusumbuliwa na kioo Cha simu ambacho kinaweka ukungu na hivyo kuwa ngumu kuandika. Na nitakapokuwa nimekosea masuala ya herufi nisamehewe

Ndugu zangu maneno ya Dr Bashiru katibu mkuu mstaafu wa CCM na katibu mkuu kiongozi mstaafu yamekuwa ni maneno yakushangaza na kusikitisha, yamekuwa ni maneno yaliyowashitua wengi,yamekuwa ni maneno yaliyo washangaza wengi, yamekuwa Ni maneno ambayo hayakutegemewa kutoka katika kinywa Cha mtu Kama Dr Bashiru, Yamewashangaza na kuwakeraa wengi, kuwasononesha na kuwakatisha Tamaa.

Ni maneno yaliyoonesha chuki Binafsi kwa mh Rais, Ni maneno yaliyoonesha kuwepo kwa Ajenda ya Siri nyuma,Ni maneno yaliyoonesha uwakilishi wa kakikundi fulani nyuma yake, Ni maneno yaliyo kuja Kama kupima upepo, ni maneno yaliyo kuja kumkatisha Tamaa Mh Rais, ni maneno yaliyokuja kuwagawa wanachama, ni maneno yaliyolenga kumvunja moyo mh Rais, ni maneno yaliyokuja kana kwamba Ni mtego wakutaka kutambua mtizamo wa chama na wananchi, Ni maneno ya kuleta Taharuki. Ni Maneno yaliyokuja Kama kutoa ujumbe au kufikisha ujumbe au kuleta picha fulani Au kutunisha misuri au kutisha japo huwezi ukaitisha Taasisis ya Urais hata siku moja

Hakika Ni Shambulizi kwa Rais, Ni kombola lililorushwa ili kusikiliziaa Nini kitatokea litakapotua, Ni Shambulizi la makusudi lenye lengo maalumu na ajenda maalumu, Halijatokea kwa bahati mbaya na Kama Kuna mtu Anawaza hivyo Amini Nawaambieni kuwa atakuwa anajidanganya, atakuwa hajawaza vizuri,atakuwa amejipa jibu la bila kufikiri kwa kina na kuelewa maana ya kauli hiyo, atakuwa hajatafakari kwa undani wa kauli hiyo. Ni kauli ya Hasira toka kwenye moyo wenye hasira kinyongo na chuki,siyo kauli ya kawaida kutoka kwa kiongozi aliyefikia ngazi ya juu kiuongozi ndani ya chama na serikali na anayepaswa kuwa mnyenyekevu,mtiifu,mwenye kifua Cha Siri, na mwenye kuchungu ulimi wake hasa kwa kutambua kuwa Ni mtu aliyekuwa anafahamu Siri nyingi na mipango mingi ya chama na serikali kutokana na nafasi za kiuongozi alizokuwa nazo, Ni mtu anayepaswa kuheshimu mamlaka na kukosoa kwa staha na kufuata utaratibu ambao hauwezi kuleta Taharuki kwa jamii.

Ndugu zangu iweje kosa kumpongeza mh Rais? Iweje nongwa kumsifia mh Rais kwa kazi nzuri na njema alizozifanya ndani ya muda mfupi? Kwanini asipongezwe? Kwanini asisisfiwe anapofanya vizuri? Kwanini iwe dhambi kumtia moyo na kumpa faraja mh Rais ya kusonga mbele?

Ndugu zangu Wakulima wa nchi hii watashindwaje kumpongeza mh Rais wakati wanaona kazi kubwa na juhudi za mh Rais katika kuwainua kiuchumi na kuwakwamua kutoka katika umaskini? Wakulima waliokuwa wananunua mbolea ya DAP laki na 40 msimu uliopita watashindwaje kumpongeza nakumsifia mh Rais wanapoona msimu huu mbolea hiyo hiyo Ya DAP ya Ruzuku inapatikana kwa Elfu 70 tu? Wakulima watashindwaje kumpongeza na kumsifia mh Rais wanapoona Sasa wanafaidika na jasho lao baada ya kuwa Bei ya mazao Ni nzuri Tangia wakati wa mavuno? Kwanini wasimpongeze? Ni vipi iwe kosa na kero kumpongeza? Kwanini mtu aumie na pongezi hizi kwa mh Rais? Nini kinachomuuma kwa Rais kupongezwa na kusifiwa? Je anataka kusikia Rais akishambuliwa na maneno mabaya? Au anataka Rais azomewe? Au hafurahishwi na mafuriko ya mapokezi anayoyapata mh Rais kila apitapo na kufika kwa wananchi kuwasikiliza huku akisifiwa na kupongezwa kwa usikivu wake?

Wazazi wanaosomesha watashindwaje kumpongeza mh Rais? Watashindwaje kumsifia mh Rais baada ya kutuliwa mzigo wa kulipiwa Ada watoto wao mpaka kidato Cha sita? Watashindwaje kumshukuru wakati wanaona matumaini ya watoto wao Kuendelea na masomo yao? Watashindwaje kumpongeza wanapoona watoto wao wakiendelea na masomo bila kikwazo Wala kuchangishwa mamichango licha ya uduni wa maisha Katika familia zao? Watashindwaje kupiga magoti kumuombea Afya njema mama huyu mzalendo wa kweli na kipenzi Cha watanzania?

Wanafunzi wa Elimu ya juu watashindwaje kumpongeza na kumsifia Rais wao hasa baada ya kuona ndoto zao zikitimia bila shida baada ya kuwa wote wenye sifa wamepata mikopo na kuruhusiwa kupokelewa vyuoni na Kuendelea na masomo yao? Kwanini wasimpongeze? Wangapi wamewahi kushindwa kufikia ndoto zao za kupata Elimu ya juu kwa kukosa mkopo? Wangapi wameteketeza Mali zao Kama ardhi kwa kulipia Ada sekondari Hadi vyuoni watoto wao nikiwepo Mimi Kama mfano wa kuuzwa kwa ardhi nilipokuwa nasoma ili kulipia ada? Wangapi wamekwama njiani kwa kukosa Ada vyuoni? Kwanini leo hii wasimpongeze mh Rais wanapoona wanapata mikopo na kutimiza Ndoto zao

Kuna Nini nyuma ya Dr Bashiru? Kwanini anataka apandikize chuki kwa watanzania? Kwanini anataka kuwafundisha watanzania wamchukie Rais wao? Kwanini Hataki Rais Samia Asisifiwe na kupongezwa anapofanya vizuri? Kwanini Hataki?Nini kinamuuma Dr Bashiru mh Rais akisifiwa na kupongezwa? Anataka Nini ili afurahi moyo wake? Haamini kuwa Huyu ndiye Rais wake? Hamtaki Mama Samia? Anataka Nini?Amepanga Nini Dr Bashiru? Yupo na Nani? Ametumwa Na Nani? Kwa ajenda Gani? Kwa mwaka upi? Kwa malengo gani?kwa njia zipi? Kwakutumia watu wapi na makundi yapi?

Anataka kupanda mbegu gani chamani? Kwanini alete Taharuki kipindi hiki? Kwanini hakufanya hivi Huko nyuma? Kwanini iwe Sasa wakati wa mama Samia?Mbona huko nyuma tulikuwa tunaandaa Hadi makongamano ya kumsifu Rais wetu Hayati Dr Magufuli anapofanya vizuri na Wala hatukuwahi kusikia kauli Kama hii kutoka kwa Dr Bashiru? Kwanini inaonyesha amekosa Heshima kwa Mh Rais? Anataka alazimishe Jambo Gani ili kutimiza ajenda Gani na iliyopangwa na Nani na kuongozwa na kuratibiwa na Nani?

Je Ametangulizwa na watu kuja kupima kina Cha maji? Je ametumwa na watu kuja kupata mwitikio wa Rais? Je, anataka kujibiwa na Rais? Je anataka kukigawa chama chetu? Je, anataka kupandikiza makundi? Je anataka kuleta mbegu gani ndani ya chama chetu?

Mbona hajawahi kufanya haya huko nyuma? Mbona hajawahi kuzungumza haya huko nyuma? Mbona hajawahi popote pale kuwakanya watu wasimsifie Wala kumpongeza kiongozi yoyote anayefanya vizuri? Anataka Rais apongezwe na Nani ikiwa watanzania wanaotumikiwa kupitia ilani yetu wameridhishwa na utendaji kazi wa mh na kuamua kumpongeza na kumsifia mh Rais?

Kwanini anataka kumkatisha Tamaa Mh Rais pamoja na wananchi? Kwanini anataka kuwafundisha ujeuri wananchi? Anataka wananchi waipinge serikali yao?anataka waichukie serikali yao? Anataka waikatae serikali yao? Anataka Nani apongezwe? Nani aipongeze? Je, ilani aliyoisimamia mwenyewe anataka Nani aisifie Inapokuwa inatekelezwa vizuri.

Dr Bashiru amemkosea Rais wetu,ameikosea CCM ,ameikosea serikali na ametukosea wananchi. Amuombe radhi mh Rais,chama, serikali na watanzania wote kwa ujumla wake. Awe muungwana katika hili, ajishushe na kutambua kosa lake, ajisahihishe Kama kweli kauli Ile haikuwa na lengo baya na haikuwa na ajenda ya Siri nyuma ya pazia.

Ccm ni moja, wanaccm ni wamoja na chama ni kimoja.Tuendelee kusimama kwa pamoja Kama chama Na Taifa kwa ujumla, tusimame na Mwenyekiti wetu Mama Samia, Tusimuache akishambuliwa Wala kukatishwa Tamaa. Shambulizi dhidi ya Rais Samia Ni Shambulizi kwa chama chetu serikali yetu na Taifa letu kwa ujumla ambalo Hilo ndilo ambalo mh Rais wetu amejitoa na kujitolea kulitumikia kwa uzalendo na kwa dhati ya moyo wake wote

Kazi iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia Watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu: 0742-676627
 
Mna hari mbaya sana na ndo wananchi washamalizana na nyie na ishakula kwenu hivyo. Kama mtu mmoja kawapasua hivi hao wengine wakija mnapona kweli? hivi nani kawaambia Bashiru ni Bashiru pekee?

Kwa ninavyowaona mmeshachelewa gari na hamkujiandaa kwa lolote, mlilewa mvinyo n haya yamekuja kama surprise kwenu na sasa ni muda wa kupigwa. Poleni kwa kufumwa
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kuitikisa CCM,hayupo mtu huyo na bado hajazaliwa bado,Kama huamini ondoka CCM au mwambie yeyote atoke ndani ya CCM na umuunge mkono uone Kama ataweza kuitikisa CCM au kuyumbisha. Ukitoka CCM hata wananchi wanakuwa hawana habari na wewe maana Wana Imani na CCM yao na kuiunga mkono
 
Na wale waliopiga makofi unawasemaje? Nao waitwe?
 
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kuitikisa CCM,hayupo mtu huyo na bado hajazaliwa bado,Kama huamini ondoka CCM au mwambie yeyote atoke ndani ya CCM na umuunge mkono uone Kama ataweza kuitikisa CCM au kuyumbisha. Ukitoka CCM hata wananchi wanakuwa hawana habari na wewe maana Wana Imani na CCM yao na kuiunga mkono
Na mie huyo mtu bado simuoni kwa leo Ila hilo lisitudanganye kwamba chama chetu kitakaa milele yote.

Kinachotokea leo kinachokwenda kutokea ni kwamba chama kinatakiwa kujisahihisha kwa kurudi kwenye misingi yake, mabwanyenye hawana nafasi ndani ya chama na hili tunatakiwa kupambana nalo mimi na wewe kwa kuungana. Tukifanya hivi hakika chama chetu kitakuwepo miaka mingi ijayo

Mabwanyenye out
 
Dr BASHIRU ametoa maoni kwa mujibu wa katiba ya JMT hajatukana mtu sijaona kosa lake

Hv neno kustaafu au mstaafu lina maana gan

BASHIRU hajawah kustaafu U KM wa CCM Wala u KATIBU MKUU KIONGOZI

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ukishakuondolewa katika nafasi yako na kuteuliwa mtu mwingine Kama ilivyokuwa kwa Dr Bashiru Basi unahesabika Kama mstaafu
 
Kila wakati najiuliza swali hili kwa nini katika siasa akili kubwa hutumia mbinu ya mirusi mingi. CCM wamekurupushwa kutoka usingizini wanahaha kuwinda mirusi.
 
Back
Top Bottom