Maneno ya Dkt. Bashiru ni shambulizi kwa Rais Samia na yenye ajenda ya siri. Aitwe haraka na kuhojiwa na chama

Alipokuwa UDSM ndo ilikuwa KAZI yake kufundisha uthubutu na kuwa na msimamo thabiti.

Kwa taarifa Yako, Bashiru hawezi omba radhi kama ndugai.

Wazee wote wa chama wa enzi ya Nyerere wapo nyuma yake!!!!!
 
Ahadi m
Mojawapo ya TANU ilikuwa "Nitasema KWELI daima, FITINA kwangu MWIKO".

Waanzilishi wa CCM , Mzee Butiku na Warioba wanasisitiza viongozi wakosolewe kujenga Taifa.

Hivi nani mwalimu wako wa siasa?

Mbona hujifunzi Kwa waasisi wa CCM?

Kwamba akishaitwa Bashiru kuhojiwa, afuatie Butiku na Warioba kuhojiwa?
 

CCM haijawahi kuwa na tatizo la mikakati toka enzi za Nyerere, ila utekelezaji ni zero.
 
toady
 
Alipokuwa UDSM ndo ilikuwa KAZI yake kufundisha uthubutu na kuwa na msimamo thabiti.

Kwa taarifa Yako, Bashiru hawezi omba radhi kama ndugai.

Wazee wote wa chama wa enzi ya Nyerere wapo nyuma yake!!!!!
Umetoa sweeping statement wazee wote wa enzi ya Nyerere wapo nyuma yake una uhakika? Hizo zote ni drama za kisiasa watamalizana wenyewe na sisi tutabaki vinywa wazi.
 
Nimekumbuka kauli za kina Ally Hapi wastaafu wakae kimya la tutawashuhulikia haya yote yalitendeka kwenye kipindi cha Bashiru, wembe ule ule unaweza kutumika kumnyolea chezea siasa wewe. Inabidi akubali kubaki kando laa ataonyeshwa njia. Natania tu.
 
Write your reply...natamani dawa ya kuua chawa wote kitu ipatikane hilo tu yaani .....Chawa Mmezidi
 
Sijasoma lkn umeandika upuuzi na utumbo wahovyo
 
Wazazi wangapi wanashindwa kuyamudu majukumu kutokana na Hali za kiuchumi? Wangapi wamewagi kushindwa kuwapeleka watoto wao shule kwa kukosa fedha? Kwanini asipongezwe na kutiwa moyo anayefanikiwa?
Kwa kukopa? Think big alafu tunakuja kwapuliwa kwenye MBs? Sitoi sifa kwa hilo la mkopo wenye riba na conditions ngumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…