Maneno ya hekima ya mzee Kingunge (rip), na yaliungwa mkono na Mbowe kabla hajalamba asali.

Mitano tena kwa mbowe hadi 2029 ikifika tena mitano tena na tena na tena hadi afe kama alivyofanya Lyatonga na ndivyo wanavyofanya akina Lipumba, Cheyo n.k, kuna mtu amekatazwa kugombea? Achenj demokrasia ichukue nafasi yake
 
Yaani hilo lipo wazo.Ukiwa mfuasi wa CHADEMA 2025 itakupasa upimwe akili
Nadhani mtu yeyote (ambaye siyo ukoo wa bosi) akiwa mfuasi wa chadema atapaswa kulazwa hospitali ya vichaa
 
According to Wenje: Amesingiziwa rushwa toka mwezi Mei, amekuja kuliongelea suala hilo mwezi Desemba. Kwa hiyo yeye ni mkomavu na mvumilivu kisiasa na ni kiongozi bora kwa vile ameweza kulimezea kwa miezi 7.

According to Wenje again: Anauliza kwa nini TAL suala la rushwa ya Abduly la mwezi Desemba mwaka jana anangoja muda mrefu huo hadi mwezi Mei mwaka huu (miezi 6) ndipo amelisemea? Anadai huo ni udhaifu wa kiuongozi. Alipaswa kusema wakati uleule.
 
Mkuu
Kwa Wenje tuna bumunda au hatuna?
 
Mkuu
Kwa Wenje tuna bumunda au hatuna?
Mkuu, sijui tumwiteje. Lakini mimi naongeza mfano wa ufafanuzi zaidi. Ukimwona mtu amebeba madumu ya petroli kwenda kuuzimisha moto, hapo tunaitaje kiufundi?
 
Mkuu, sijui tumwiteje. Lakini mimi naongeza mfano wa ufafanuzi zaidi. Ukimwona mtu amebeba madumu ya petroli kwenda kuuzimisha moto, hapo tunaitaje kiufundi?
Anajimaliza mwenyewe mkuu.
Statements zake zinaashiria kuwa Watanzania tumepigwa sana sana kwa miaka yote hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…