Maneno ya Hekima

Maneno ya Hekima

Burure

Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
42
Reaction score
96
Sio kila vita unapaswa kupigana, sio kila ushindi huja na furaha, vyote nitakavyopoteza vinaweza kupatikana ukipambana tena.

Anamshukuru Mungu kwa kumpa Adui anayemfahamu ila bado jambo moja tu ampe na Rafiki asiyemfahamu.

Hakuna wa kuchukua nafasi ya mwingine bali majukumu, hakuna wa kuziba pengo la mwingine bali cheo tu.

Kinachokupa furaha kifanye kuwa siri, ndoa ni maisha na Mwanamke ndio mfumo, unaweza kuwa na namba za siri za benki ila Mkeo ndio password ya maisha yako.

Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, jitahidi kuficha baraka zako.

Source
Farhan Kihamu.
 
Back
Top Bottom