Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

Ongera zake haka kademu kana jitaidi sana
Ila no kavivu kwenye 6x6 had I ukashitue kwa kofi ndio kanaanza kuchezesha kiuno
 
Dada Kidoti asivyo na hiyana, soon tu tutasikia jamaa kazawadiwa uchi!
 
Mambo ya kazi ni tofauti sana na mambo yahusuyo mapenzi..

Mambo ya kazi yanamsaidia kupata mkate wake wa kila siku.

Wanawake msijipe jeuri na viela vyenu.


unaweza fanikiwa kikazi na kimapenzi uka blew.
And viceversa.
 
Duh!!!hilo neno makombo ulivyo litumia hapo haijakaa poa.
Sawa mkuu. Ntarekebisha. Ni kauli aliyowahi kutoa Diamond kwa Ali Kiba kuwa kumpenda Jokate alikuwa anakula makombo yake ambapo Jokate alimjibu kuwa naye Diamond alikula ya Hasheem
 
Kijana anajua sana kucheza na time kwenye panapo tokea fursa kwa desperation KE
 
Haha, huyu ameshindwa kumtongoza Jokate waziwazi ameona apite njia ya kusifia...anyway, it works sometimes maana kutongoza sehemu kubwa ni kumsifia mwanamke, mzigo unapewa baada ya kuwa umeshasifia sana!
 
Jokate atulie na watu wanaojiheshimu hawa wanyoa viduku wanamchezea tu kuanzia mondi,kibakuli,ngongoti na huyu anayemnyapia Chale nduta..Ni wakati wa kujenga family aaijidanganye na umbo lake la utoto umri haudanganyi,jokate nimemuona udsm akisoma miaka ya 2005 tu_assume alikuwa 18 mpaka sasa anakaribia 30+ na bado hana mtoto na hana mtu anayeeleweka.
 


Kama Joketi anajitambua nafikiri atakuwa kishapata jibu....nasema hivi kwa sababu huyu mtoto (Jokate) anaonekana bado hazimo kichwani kwa kulilia hadharani dushe la Kiba wakati the guy hamtaki......na haka kajamaa (Idriss) anachukua loophole hiyo kumfagilia Jokate ili ampige pumbu na kuchezea hisia zake kisha amfanye kama Kiba. Wasanii wa kibongo kwa kweli wanatabirika kwa ujinga wao.
 
Mi jamani nilishasema kama huyu Binti vijana wanamsumbua hamna tabu mimi nitamuowa awe mke wangu wa pili.mbona mwanamke ana heshima zake tu tatizo nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…