Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

Maneno ya Idriss Sultan Kwa Mrembo Jokate Mwegelo

Hata huyo pia ni makombo kama issue ni watoto huyu unajua ametoa mimba ngapi?
Watoto wanaonekana wapo wangapi.

Unajua idadi ya mimba alizitoa?!

Au mlikuwa mnatoa mimba kwa wakati mmoja mkuu?!
 
Forbes? Labda anamaanisha Kiu au Risasi

itabidi uandamane sasa au ?

IMG-20170529-WA0134.jpg
 
Shukrani zikuendee kwako bwana Sultani na hongera sana kwa kuliona hilo,

Hata mimi nilikua nawaza kwann waTZ wenye muono chanya hawauoni huu mchango wa Bi.Jokate kwa vijana???

Kujenga viwanja vya michezo na kuhamasisha michezo kwa vijana wetu ni jambo bora lenye kustahili pongezi na hamasa pia.

Go Jokate[emoji8]
Go [emoji259] The Flower of Tanzania.[emoji259]
mwenzako kaona tofauti na ulivyoona wewe.

WANAUME MNAJUA NAMAANISHA NINI
 
Huyo Jokate mwenyewe ana dharau zaidi ya Prof Muhongo. Ndio maana Kiba kamwaga...
 
Back
Top Bottom