Landcruiser
JF-Expert Member
- May 27, 2013
- 1,805
- 599
K hainaga makombo.. Watu wanafanywa since 1999 akikupa utadhan mpyaAnataka kuonja makombo ya Ali Kiba baada ya kushiba ya Diamond. Huyu jamaa kwa makombo hajambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K hainaga makombo.. Watu wanafanywa since 1999 akikupa utadhan mpyaAnataka kuonja makombo ya Ali Kiba baada ya kushiba ya Diamond. Huyu jamaa kwa makombo hajambo.
Hivi nn maana ya makombo tuanzie apo
Na kutoka kwa Jux atakua anataka nini?Anataka mbunye huyu....thats natural kip it up men..
Watoto wanaonekana wapo wangapi.Hata huyo pia ni makombo kama issue ni watoto huyu unajua ametoa mimba ngapi?
Forbes? Labda anamaanisha Kiu au Risasi
Utakua Uko nje ya ulimwengu huuForbes? Labda anamaanisha Kiu au Risasi
mwenzako kaona tofauti na ulivyoona wewe.Shukrani zikuendee kwako bwana Sultani na hongera sana kwa kuliona hilo,
Hata mimi nilikua nawaza kwann waTZ wenye muono chanya hawauoni huu mchango wa Bi.Jokate kwa vijana???
Kujenga viwanja vya michezo na kuhamasisha michezo kwa vijana wetu ni jambo bora lenye kustahili pongezi na hamasa pia.
Go Jokate[emoji8]
Go [emoji259] The Flower of Tanzania.[emoji259]