Maneno ya Kenya yaliyopenya TZ yetu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Ya ktk TZ yaliyopenya Kenya ni mengi mno ila kinyume chake siyo kwa sana, binafsi nayajua haya tu ktk Kenya Chokoraa, Harambee, chalii, Mungiki, ...
 
Chalii asili yake si Kenya bali West Africa! Harambee pia asili yake India. Those r coined words!
 
Nyang'au lamba lolo ni nini? ,BTW nyang'au nayo imepenya Bongo kutokea jirani zetu wa juu?
 
Nilikuta mlo wa Muthura/Mutura kule Morogoro, tena wanaita kabisa kama ilvyo Kenya. Halafu 'nigei hela yangu', hilo neno 'nigei' ni sheng ya zamani sana Kenya, enzi nikiwa dogo kitaani, ila naona inatumika Tanzania maeneo mengi.
 
Lamba lolo ni sawa na kusema suck dick. 😀😀 Lamba lolo MSAGA SUMU!
Nilikuta mlo wa Muthura/Mutura kule Morogoro, tena wanaita kabisa kama ilvyo Kenya. Halafu 'nigei hela yangu', hilo neno 'nigei' ni sheng ya zamani sana Kenya, enzi nikiwa dogo kitaani, ila naona inatumika Tanzania maeneo mengi.
Ndio learning from the best.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…