Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalii asili yake si Kenya bali West Africa! Harambee pia asili yake India. Those r coined words!Ya ktk TZ yaliyopenya Kenya ni mengi mno ila kinyume chake siyo kwa sana, binafsi nayajua haya tu ktk Kenya Chokoraa, Harambee, chalii, Mungiki, ...
Chalii asili yake si Kenya bali West Africa! Harambee pia asili yake India. Those r coined words!
Gai [emoji23] [emoji23] githeri na muthura.aki,gai,stima,githeri,compee,manzi
Kuna dada hapa Mkenya huwa anaitumia sana hiyo 'Gai' anapokua anashangaa kitu. Basi mie huwa ni full burudani jinsi anavyoitamka.Gai [emoji23] [emoji23] githeri na muthura.
"Gai" huwa naisikia sana kwa Dj Afro.Kuna dada hapa Mkenya huwa anaitumia sana hiyo 'Gai' anapokua anashangaa kitu. Basi mie huwa ni full burudani jinsi anavyoitamka.
aki ndio hyo haki ila wanaitamka bila H.gai ni god,neno lamshangao sawa na my god,stima umeme,manzi demu,compee complainHapo sijui hata moja, aki ni haki au ni nini?
competitioncompeecomplain
ungeonyesha kwa picha ingefaa zaidi....Saidong,,kibwenye
Lamba lolo ni sawa na kusema suck dick. 😀😀 Lamba lolo MSAGA SUMU!Nyang'au lamba lolo ni nini? ,BTW nyang'au nayo imepenya Bongo kutokea jirani zetu wa juu?
Ndio learning from the best.Nilikuta mlo wa Muthura/Mutura kule Morogoro, tena wanaita kabisa kama ilvyo Kenya. Halafu 'nigei hela yangu', hilo neno 'nigei' ni sheng ya zamani sana Kenya, enzi nikiwa dogo kitaani, ila naona inatumika Tanzania maeneo mengi.
Urban Dictionary: Lamba LoloNyang'au lamba lolo ni nini? ,BTW nyang'au nayo imepenya Bongo kutokea jirani zetu wa juu?