haha... ngitéNugu, Ngori,
Hhh aahhha hhhha
Asante kwa uzi huu...its good sio ya kijingaYa ktk TZ yaliyopenya Kenya ni mengi mno ila kinyume chake siyo kwa sana, binafsi nayajua haya tu ktk Kenya Chokoraa, Harambee, chalii, Mungiki, ...
Nyangau ni la bongo nyerere aliwatunga wakenya Kwa kuwaita manyang'auNyang'au lamba lolo ni nini? ,BTW nyang'au nayo imepenya Bongo kutokea jirani zetu wa juu?
Rununu simu ya mkononi ,kipepesi ni simu ya mezani.hiki wanakiita kiswahili mufti.rununu na kipepesi ni nini?
Lamba lolo je?aki ndio hyo haki ila wanaitamka bila H.gai ni god,neno lamshangao sawa na my god,stima umeme,manzi demu,compee complain
Lamba lolo je?Nilikuta mlo wa Muthura/Mutura kule Morogoro, tena wanaita kabisa kama ilvyo Kenya. Halafu 'nigei hela yangu', hilo neno 'nigei' ni sheng ya zamani sana Kenya, enzi nikiwa dogo kitaani, ila naona inatumika Tanzania maeneo mengi.
Duh!! Kiswahili cha nai?'Nivutie nangos' ama 'nidungie' (nipigie simu/call me ): 'Nijenge' (sort me out): 'Mawaba' (maji/water): 'Niko maunenge' (niko njaa/I'm hungry): 'Digolo/digaga' (goggles/miwani).
Nyang'au ni neno la Kizanaki, lina maana Paka Shume ' Stray Cat'Nyang'au lamba lolo ni nini? ,BTW nyang'au nayo imepenya Bongo kutokea jirani zetu wa juu?
Nyang'au ni mtu mwenye tabia ya kinyama. Tafsiri yake kwa kiingereza ni 'savage'. Hiyo ya paka shume mnaijua tu nyinyi wazanaki. Labda ufananishe nyang'au na fisi au hata mbwa mwitu. Sawa? Usitufananishe sisi manyang'au na vitu ovyo ovyo kama nyaauu! 😀Nyang'au ni neno la Kizanaki, lina maana Paka Shume ' Stray Cat'
Nyerere alilitumia kuwaida Wakenya wakati wa vita ya Ujamaa/Ubepari !