Maneno ya Kenya yaliyopenya TZ yetu!

Maneno ya Kenya yaliyopenya TZ yetu!

Bata, Kicheche, mzuka nime wasikia wakenya wakiyatumia mpaka kwenye mistari ya mziki. Maneno mengi kutoka Bongo yana penya Kenya kupitia Bongo movie na fleva. Ata uki sikiliza muziki wakenya wanatumia maneno mengi yanayo tumika zaidi bongo.
 
Mazee,chokoraa,nyangau,venye,manzi,chang'aa,mkora,miraa.

Wakenya wa mombasa ndo nilienjoy kuongea nao kiswahili ila hawa wa Nairobi kuna wakati tulikua tunapotezana.
 
'Nivutie nangos' ama 'nidungie' (nipigie simu/call me ): 'Nijenge' (sort me out): 'Mawaba' (maji/water): 'Niko maunenge' (niko njaa/I'm hungry): 'Digolo/digaga' (goggles/miwani).
 
Nilikuta mlo wa Muthura/Mutura kule Morogoro, tena wanaita kabisa kama ilvyo Kenya. Halafu 'nigei hela yangu', hilo neno 'nigei' ni sheng ya zamani sana Kenya, enzi nikiwa dogo kitaani, ila naona inatumika Tanzania maeneo mengi.
Lamba lolo je?
 
'Nivutie nangos' ama 'nidungie' (nipigie simu/call me ): 'Nijenge' (sort me out): 'Mawaba' (maji/water): 'Niko maunenge' (niko njaa/I'm hungry): 'Digolo/digaga' (goggles/miwani).
Duh!! Kiswahili cha nai?
 
Nyang'au lamba lolo ni nini? ,BTW nyang'au nayo imepenya Bongo kutokea jirani zetu wa juu?
Nyang'au ni neno la Kizanaki, lina maana Paka Shume ' Stray Cat'

Nyerere alilitumia kuwaida Wakenya wakati wa vita ya Ujamaa/Ubepari !
 
Nyang'au ni neno la Kizanaki, lina maana Paka Shume ' Stray Cat'

Nyerere alilitumia kuwaida Wakenya wakati wa vita ya Ujamaa/Ubepari !
Nyang'au ni mtu mwenye tabia ya kinyama. Tafsiri yake kwa kiingereza ni 'savage'. Hiyo ya paka shume mnaijua tu nyinyi wazanaki. Labda ufananishe nyang'au na fisi au hata mbwa mwitu. Sawa? Usitufananishe sisi manyang'au na vitu ovyo ovyo kama nyaauu! 😀
 
Back
Top Bottom