maneno ya kibantu

maneno ya kibantu

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,586
Reaction score
11,227
nilipo kuwa kidato cha nne mwalimu wangu alikuwa aki husianisha kiswahili na maneno ya kibantu. alisema maneno yote ya kibantu na kiswahili ikiwa miongoni mwa rugha hizo, yameishiwa na irabu mfano kamwene, irabu e, herero irabu o, unkhonto irabu o. nilimuelewa mwalimu vizuri. tatizo lilikuja nilipo kuwa chuo cha ualimu. mkufunzi wetu aliandika neno rais. nilihoji kama hili neno ni lakiswahili.lilizuka zogo tukaamua kuangaia kamusi, na kamusi ya tuki 1982 bila iyana ilitutabainisha kuwa rais ni kiswahili sanifu. mimi mpaka sasa ninaamini maneno yote ya kibantu yanaishiwa na irabu saasa ni kwanini baadhi ya aneno tunayo tumia katika kiswahili yanakosa sifa hii? je kiswahili si kibantu? au si lazima kwa neno la kibantu kuishiwa na irabu! na je tuseme ni makosa ya waandaaji wa mwanzo wakamusi kutozingatia kigezo hiki? nawasilisha
 
Back
Top Bottom