lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
Huyu mjinga hapo kwenye video anajitapa eti maendeleo hayawezi kuja bila CCM, Huu ni upumbavu gani vijana wa CCM mnaongea? Nyie ndio mnaoiuwa CCM taratibu, inaonekana ni lichama la chuki na visasi. Viongozi waliotangulia wangefanya huu uzwazwa nchi ingekuwa ishagawanyika walitambua upinzani upo na kama upinzani upo ni rahisi baadhi ya kata na majimbo kuongozwa na upinzani. Hivyo walipeleka maendeleo bila kuangalia itikadi za chama.
Watanzania wenzangu natoa rahi 28/Oct tuwaonyeshe CCM hii nchi SIO MALI YAO NI MALI YA WATANZANIA. TANZANIA IS NOT CCM PROPERTY!
Watanzania wenzangu natoa rahi 28/Oct tuwaonyeshe CCM hii nchi SIO MALI YAO NI MALI YA WATANZANIA. TANZANIA IS NOT CCM PROPERTY!