Uchaguzi 2020 Maneno ya kipumbavu sana, wanadhihirisha chuki na visasi vya CCM

Japo sijafungua hiyo link, bila shaka utakuwa unamuongelea mpwa wa yule mzee atayekimbilia mafichoni chato hapo baada ya tarehe 28 October!
 
Hawa vijana wengi wana elimu duni sana hata vyuoni uwezo wao ni duni sana hivyo hujikita kwenyw siasa kusaka nafasi za uteuzi !! Mfano mkuu wa wilaya,ukatibu tawala,ukurugenzi nk ila kichwani empty
Huyu mshamba anayefuga go.vi anaropoka kama baba yake wa kufikia.
 
Mkuu Oct twende na upinzani, Zanzibar maalim, Tanganyika Lissu
Comrade sasa wewe na uyo unayempinga mna tofauti gani?? Unajua upinzani sio chadema na Act tu mbona unalazimisha tumchague Lissu na Maalim kwani hakuna wagombea wengine?
 
Mh Lissu alisema hivi "elimu yetu inapaswa kufumiliwa maana ni elimu ya kufaulu mtihani na sikupata maarifa"

Ukimsikiliza huyo Haraharaka utagundua Mh Rais mtarajiwa TUNDU ANTIPAS LISSU yupo sahihi kwa asilimia 1000%
Hawa vijana wengi wana elimu duni sana hata vyuoni uwezo wao ni duni sana hivyo hujikita kwenyw siasa kusaka nafasi za uteuzi !! Mfano mkuu wa wilaya,ukatibu tawala,ukurugenzi nk ila kichwani empty
 
Huyu mjinga hapo kwenye video anajitapa eti maendeleo hayawezi kuja bila CCM, Huu ni upumbavu gani vijana wa CCM mnaongea? Nyie ndio mnaoiuwa CCM taratibu, inaonekana ni lichama la chuki na visasi. Viongozi waliotangulia wangefanya huu uzwazwa nchi ingekuwa ishagawanyika walitambua upinzani upo na kama upinzani upo ni rahisi baadhi ya kata na majimbo kuongozwa na upinzani. Hivyo walipeleka maendeleo bila kuangalia itikadi za chama.

Watanzania wenzangu natoa rahi 28/Oct tuwaonyeshe CCM hii nchi SIO MALI YAO NI MALI YA WATANZANIA. TANZANIA IS NOT CCM PROPERTY!
View attachment 1582334
Tatizo huwa mna hasira Sana , punguza jaziba mchezo hauhitaji hasira 😀😀😀 na baada ya uchaguz Lissu tunamkamua Mavi 😀😀
 
Comrade sasa wewe na uyo unayempinga mna tofauti gani?? Unajua upinzani sio chadema na Act tu mbona unalazimisha tumchague Lissu na Maalim kwani hakuna wagombea wengine?
Lengo ni kuwafundisha nidhamu!
 
Huyu mjinga hapo kwenye video anajitapa eti maendeleo hayawezi kuja bila CCM, Huu ni upumbavu gani vijana wa CCM mnaongea? Nyie ndio mnaoiuwa CCM taratibu, inaonekana ni lichama la chuki na visasi. Viongozi waliotangulia wangefanya huu uzwazwa nchi ingekuwa ishagawanyika walitambua upinzani upo na kama upinzani upo ni rahisi baadhi ya kata na majimbo kuongozwa na upinzani. Hivyo walipeleka maendeleo bila kuangalia itikadi za chama.

Watanzania wenzangu natoa rahi 28/Oct tuwaonyeshe CCM hii nchi SIO MALI YAO NI MALI YA WATANZANIA. TANZANIA IS NOT CCM PROPERTY!
View attachment 1582334
Mkuu usipate hasira huyu anajua anatokea wapi? na ninani wa M/kiti wetu wa taifa?
 
Huyu mjinga hapo kwenye video anajitapa eti maendeleo hayawezi kuja bila CCM, Huu ni upumbavu gani vijana wa CCM mnaongea? Nyie ndio mnaoiuwa CCM taratibu, inaonekana ni lichama la chuki na visasi. Viongozi waliotangulia wangefanya huu uzwazwa nchi ingekuwa ishagawanyika walitambua upinzani upo na kama upinzani upo ni rahisi baadhi ya kata na majimbo kuongozwa na upinzani. Hivyo walipeleka maendeleo bila kuangalia itikadi za chama.

Watanzania wenzangu natoa rahi 28/Oct tuwaonyeshe CCM hii nchi SIO MALI YAO NI MALI YA WATANZANIA. TANZANIA IS NOT CCM PROPERTY!
View attachment 1582334
Huyu kichaa na zwazwa anaongea ujinga gani hapa? Huu ni UCHOCHEZI first degree na lazima ukemewe kwa nguvu zote.
Hii video ikae kwene kumbumbu ili siku kesi ya kuwashtaki Hawa mazwazwa huko ICC na ikawe kama Ushahidi.
 
Back
Top Bottom