Mzalendowadamu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2016
- 218
- 318
Nianze kwa Kumuombe ndugu, Mh Lisu apone haraka. Wadau naomba tukumbushane maneno ya kiswahili au yalito pata umaalufu zaidi tangu mh wetu mpendwa JPM kuteuliwa kugombe Urais.
Mimi naanza na hiviiii
1. Kutumbua majipu
2.Makinikia
3.Vilaza
4 Sasa ongezeni mengine. bila ksahau bombadia.
Mimi naanza na hiviiii
1. Kutumbua majipu
2.Makinikia
3.Vilaza
4 Sasa ongezeni mengine. bila ksahau bombadia.