Maneno ya kiswahili yaliyo pata kiki awamu ya tano

Maneno ya kiswahili yaliyo pata kiki awamu ya tano

Ukiwa cherehani 4 hiko ni kiwanda

Nasema ukweli, ukweli kabisa
 
Nianze kwa Kumuombe ndugu, Mh Lisu apone haraka. Wadau naomba tukumbushane maneno ya kiswahili au yalito pata umaalufu zaidi tangu mh wetu mpendwa JPM kuteuliwa kugombe Urais.
Mimi naanza na hiviiii

1. Kutumbua majipu
2.Makinikia
3.Vilaza
4 Sasa ongezeni mengine. bila ksahau bombadia.
Uchochezi
 
watumishi hewa.(kila upande hewa,kila kitu hewa)
 
Back
Top Bottom