faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
InNianze kwa Kumuombe ndugu, Mh Lisu apone haraka. Wadau naomba tukumbushane maneno ya kiswahili au yalito pata umaalufu zaidi tangu mh wetu mpendwa JPM kuteuliwa kugombe Urais.
Mimi naanza na hiviiii
1. Kutumbua majipu
2.Makinikia
3.Vilaza
4 Sasa ongezeni mengine. bila ksahau bombadia.