Maneno ya Kiswahili Yaliyopotea

Maneno ya Kiswahili Yaliyopotea

Bazazi

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2008
Posts
2,806
Reaction score
3,485
Kuna baadhi ya maneno ya kiswahili yamepotea ktk matumizi ya kila leo. Ni maneno ambayo wakati mwingine yanaachwa ilhali lilikuwa neno moja na kubadilishwa na sentensi.

Baadhi ya maneno yaliyopotea hadhirani ni
1. Sigiri - Jiko la Mkaa
2. Msusa - Majani ya Maboga
3. Ankara - Bili
4. Kishida/Gagulo - Underskirt
5. Jokofu - Frigi
6. Kiyoyozi - AC
7. Kurunzi - Tochi
8. Bilauri - Glasi


Unakumbuka maneno gani yaliachwa kutumika siku hivi!?

Bazazi
 
Mumiani
Makalio*
Malaloni
Gineri*
Tashtiti
....
 
Back
Top Bottom