mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wanapenda ujuaji humu JFNeno ambalo najua limesahaulika kabisa na huenda hakuna hata anayelijua hapa JF ni "tinabuu." Kama kuna anayejua lilikuwa na maana gani aseme.
Hili sasa hivi limeshika kasi kwa sanaBeberu ??!!
"Bichkoma"Neno ambalo najua limesahaulika kabisa na huenda hakuna hata anayelijua hapa JF ni "tinabuu." Kama kuna anayejua lilikuwa na maana gani aseme.
Tinabuu na Bichkoma zilikuwa ni style za mavazi miaka hiyo; Tinabuu siyo Bitchkoma"Bichkoma"
Tinabuu sio tinabuliTinabuu na Bichkoma zilikuwa ni style za mavazi miaka hiyo; Tinabuu siyo Bitchkoma
Hapana! Bahati mbayaTinabuu sio tinabuli
Aina ya mavazi style