Maneno ya Kiswahili Yaliyopotea

Mokaze, [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nafikir neno uroda lilianza kuharibiwa na waandishi wa magazeti yale ya udaku Kama Uwazi,Sani n.k
 
Neno ambalo najua limesahaulika kabisa na huenda hakuna hata anayelijua hapa JF ni "tinabuu." Kama kuna anayejua lilikuwa na maana gani aseme.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kuna watu wanapenda ujuaji humu JF
 
Neno lililopotea na limerudi Beberu!


Yaliyopotea;
Chegani-Saluni
Njukuti-Spoko
Kigoli-msichana mrembo
 
Goigoi Mzembe
Karagosi Puppet
Mchafukoge sehemu chafu
Kajambanani kwenye mchangayiko wa watu
 
Bazazi,
Hivi kuna wanawake bado wanavaa gagulo? naona wendi wanava kaptula kuu ya chupi
 
Neno ambalo najua limesahaulika kabisa na huenda hakuna hata anayelijua hapa JF ni "tinabuu." Kama kuna anayejua lilikuwa na maana gani aseme.
"Bichkoma"
 
Miaka ya sabini ilitawaliwa na suluari nyembaba kwa juu na kuwa pana sana chini zilizokuwa kwanza zinajulika kama Pecos zilizokuwa zinaonekana kama hivi

Baadaye mtindo huwa wa pecos ulibadilidishwa kioonndolea ufinyu kati ya kiunoni na miguuni na hivyo kutokea kwa mtindo uliojulikan kama Bugalow ambapo suluati ypottea kuanzia kiononi ilikuwa pana san kama ionekanavyo kwenye picha hii





Tinabuu
ni mtindo wa suluari uliubuniwa nadhani mwaka 1980 hivi. Ni suluari ambazo zilikuwa nyembamba sana chini kama hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…