Maneno ya kiswahili yenye maana zaidi ya moja

Basi maana nyingine ya MPARE ni funnel (kile kifaa kinachotumika kuweka kimiminika kwenye chombo chenye mdomo mdogo)
Shukrani kwa faida hii. Hili nilikuwa silijui.

Tuko pamoja.
 
AFANDE

hili neno lina maana tata sanaaaaa

Afande - "mwanaume anaelawiti wanaume wengine"
 
Demu-kitambaa demu - mwenzi wa kike wa mwanaume binti au msichana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…