- Thread starter
- #61
Hicho kisambaa Sasa, yale yale ya Corona na coonaNi kumpara samaki AU kumpaa samaki ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hicho kisambaa Sasa, yale yale ya Corona na coonaNi kumpara samaki AU kumpaa samaki ?
Shukrani kwa faida hii. Hili nilikuwa silijui.Basi maana nyingine ya MPARE ni funnel (kile kifaa kinachotumika kuweka kimiminika kwenye chombo chenye mdomo mdogo)
Karibu sanaShukrani kwa faida hii. Hili nilikuwa silijui.
Tuko pamoja.
Dadavua kidogo bhasiAFANDE
hili neno lina maana tata sanaaaaa