Maneno ya kumbembeleza mpenzi wako

Maneno ya kumbembeleza mpenzi wako

Masuonline

Senior Member
Joined
Jun 4, 2013
Posts
192
Reaction score
17
Jamani unajua "no body is perfect" thats why mimi nimeamua kuongea kuhusu udhaifu wangu katika sector ya mapenzi hasa kwenye kipengele cha "cha maneno ya kubembeleza" so jamani kwa mtu mwenye mistari anaweza kunisaidia ili kusudi kesho akanione mpya kwa maneno ambayo mtanisaidia ndungu zangu wana JF.
 
Naomba kujua yafuatayo kwanza:
1. mna muda gani kwenye mahusiano?
2. Elimu yenu (wewe na yeye)
3. Lugha mnayotumia kuzungumza nyote wawili
4. una malengo gani naye (ni wa kuondolea ukakasi au mchumba)?
 
Hili somo ni zaidi ujuavyo....kwanza jaribu kumjua undani wake, nini anapenda na nini anataka afanyiwe. Hizo jitihada zako zote unaweza kuzifanya zielekee kwenye hayo matakwa.
 
1; mda ni week mbili tu tangu tumeanza mahusiano.
2;elimu yetu (mimi na yeye) ni ya A-LEVEL.
3;na lugha tunazotumia ni mbili tu yani (english & swahili) lakini kiingereza ni mara chache sana mimi na yeye kutumia ktk maongezi yetu.
4; Na malengo yangu kwake si kumtumia tu na kisha kumtelekeza,bari kama mungu akisaidia tuwe mme na mke. Ndiyo hayo tu best matumaini yangu kwake.
 
poa nitajaribu kufanya hivyo ktk vitu anavyovipenda kisha nitarudisha feedback.
 
1; mda ni week mbili tu tangu tumeanza mahusiano.
2;elimu yetu (mimi na yeye) ni ya A-LEVEL.
3;na lugha tunazotumia ni mbili tu yani (english & swahili) lakini kiingereza ni mara chache sana mimi na yeye kutumia ktk maongezi yetu.
4; Na malengo yangu kwake si kumtumia tu na kisha kumtelekeza,bari kama mungu akisaidia tuwe mme na mke. Ndiyo hayo tu best matumaini yangu kwake.
Japo ni vigumu kwa watu wanaosoma kidato kimoja kuoana ila maneno ni kama ifuatavyo:-

Love wasn't put in your heart to stay.
Love isn't love till you give it away.

When I first saw you I was afarid to talk to you
When I first talked to you I was afraid to like you
When I first liked you I was afarid to love you
Now that I love you I'm afraid to lose you

Love is gentle
Love is kind
Love is when...
...two lives combine

If a kiss were a raindrop, I'd send you showers.
If hugs were a second, I'd send you hours.
If smiles were water, I'd send you the sea.
If love was a person, I'd send you me.

I'm not supposed to love you, I'm not supposed to care
I'm not supposed to live my life, wishing you were there
I'm not supposed to wonder where you are or what you do
I'm sorry I just can't help myself, I fell in love with you

I wrote your name in the sand but the waves washed it away
I wrote your name on my hand but I washed it the next day
I wrote your name on a paper but I accidentally threw it away
I wrote your name in my heart and forever it will stay

The day will come when you'll be mine
But I'll just wait till that time
If I have to wait forever, that's what I'll do
Cause I can't live my life without you

Kifupi soma hayo maneno tumia mara nyingi munapo zungumza!
 
Jamani unajua "no body is perfect" thats why mimi nimeamua kuongea kuhusu udhaifu wangu katika sector ya mapenzi hasa kwenye kipengele cha "cha maneno ya kubembeleza" so jamani kwa mtu mwenye mistari anaweza kunisaidia ili kusudi kesho akanione mpya kwa maneno ambayo mtanisaidia ndungu zangu wana JF.
Maneno haya lazima yaambatane na vitendo:

I could search my whole life through and through an never find another you.

I love my life because it gave me you
I love you because you are my life

When you see a falling star to night, make a wish, it will come true because I wished and I found you.

If I had to choose whether to breathe or to love you, I would use my last breath to tell you that... I love you.

They say you only fall in love once, but that can't be true... Every time I look at you, I fall in love all over again.

I'll love you until the day after forever.

It's magic each time we hold each other, each time we cuddle, and each time we kiss. I feel goosebumps all over again. I never want to let you go for fear of losing you, so I just hold on a little bit tighter each day, refusing to let go. You will never know the warmth I feel inside me when I'm with you. You're all I ever wanted.

When I first saw you, you took my breath away.
When you first talked to me, I couldn't think.
When you asked me out, I couldn't respond.
When you touched me, I got shivers all through my body.
And when we first kissed, I floated away in my dreams.

Meeting you was fate, becoming your friend was a choice, but falling in love with you was beyond my control.

You may not love me like I love you,You may not care for me like I care for you But if you ever need me, I will always be around for you.

I love being loved by you.

I wish dreams were like wishes, and wishes came true, cause in my dreams I'm always with you.
 
1; mda ni week mbili tu tangu tumeanza mahusiano.
2;elimu yetu (mimi na yeye) ni ya A-LEVEL.
3;na lugha tunazotumia ni mbili tu yani (english & swahili) lakini kiingereza ni mara chache sana mimi na yeye kutumia ktk maongezi yetu.
4; Na malengo yangu kwake si kumtumia tu na kisha kumtelekeza,bari kama mungu akisaidia tuwe mme na mke. Ndiyo hayo tu best matumaini yangu kwake.

Furaha ni kawaida yangu, kununa si busara kwangu, kuishi nawewe vizuri ni sehemu ya Maisha yangu, kukusalimia ni hulka ya Moyo wangu, Uhali gani mpenzi?

Salamu yako ni nusu ya uhai wangu, kuikosa nisawa na kuidhulumu nafsi yangu, kuipata nisawa na ua ridi machoni mwangu, nakila ninapoipata huwa najisikia faraja moyoni mwangu, Nakupenda sana Muhibu wangu.

Usiku wa leo uwe ni wenye faraja kwako, utawaliwe na usingizi wa mahaba kwenye kope zako, naomba ujenge taswira yangu katika mawazo yako, Usisahau kuniota sweet wangu. USIKU MWEMA

Fungua macho yako uone kopa za mahaba ninazokumwagia, fungua mikono yako na upokee mapenzi yangu, fungua simu yako uone ni jinsi gani ninavyokukumbuka japo kwa kukutumia sms mpenzi wangu, Nakutakia usiku mwema

Utamu wako ni zaidi ya asali, ni wa asili usiohitaji kuongezewa ladha ya sukari, nitaumiss endapo kama ukiwa mbali "NIACHE NIKUPENDE SWEET"

Moyo wangu umehifadhi hisia zako, nakuahidi kamwe sintopunguza upendo kwako, tunza sms hii ya ahadi kwenye simu yako, iwe kumbukumbu kila uisomapo! "NAKUPENDA MALAIKA WANGU"

Si vibaya mimi kukusifia kwani wewe ni wangu, nivingi umejaaliwa, vinavyouvutia moyo wangu, ama hakika uzuri wako umedhibiti matamanio yangu "SINTOMPENDA MWINGINE ZAIDI YAKO"

Thamani ya Mapenzi yako nikubwa kwangu, haifanani nachochote kwenye huu ulimwengu, sina budi kumshukuru mungu, kwa kunijaalia mpenzi mwema unaejali hisia zangu, USICHOKE KUNIPENDA MPENZI

Mpenzi kila tunapokuwa chumbani huwa napenda kuwa mbunifu, huwa najitahidi kuepuka udhaifu, ili mapenzi yangu yasikukifu, ENDELEA KUFURAHIA MAPENZI YANGU. Mchana mwema

Wewe ni wapekee ninaekupenda, sifikirii kukusaliti na wala sina wazo la kukutenda, nakuomba tuendelee kupendana siku zote habbity wangu

Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANGU"

Pokea sms yangu iliyojaa utamu, nimeipamba kwa maneno laini yenye ladha adimu, utamu wake ni kama apple haufanani na ndimu, nimeituma kwako sms hii ikuletee salamu "UHALI GANI MPENZI?"

Dhamira kuu ya Moyo wangu ni Mapenzi, kukupenda kwa dhati bila kipingamizi, kuishi nawewe kihalali kwa kudra za wazazi, Nipende nikupende Tudumishe Mapenzi. "NAKUTAKIA MCHANA MWEMA MPENZI WANGU"
 
Hili somo ni zaidi ujuavyo....kwanza jaribu kumjua undani wake, nini anapenda na nini anataka afanyiwe. Hizo jitihada zako zote unaweza kuzifanya zielekee kwenye hayo matakwa.
Nakubali madame: kwani maneno bila vitendo haviwezi kumsaidia. Naunga mkono
 
Lifuatalo ni somo nakupa:
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi
3. umjengee mazingira ya kukuomba kufanya mapenzi anapo jisikia si kufuata ratiba zako tu
4.Usimfanye akasirike anapo kuwa na wewe hata kama kakosea mweleze kwa busara na ikiwezekana uwe unahakikisha anafurahia kila jambo lako na maanisha fanya mambo anayoyafurahia mara nyingi.
5. kuwa mbunifu wa mapenzi na mfurahishe kwa zawadi
6.Msaidie kutatua shida zake za kila nyanja kadili unavyoweza
7.Kumbuka wasichana wana mambo mengi mfano kila mwezi wanaingia bleed(anahitaji pedy na kumjali), kusuka, vipodozi, nguo hasa za ndani,n.k jitahidi kuitumia pocket yako karibia nusu ya pesa yako atumie yeye!
 
poa bro julius asante kwa msaada wako na ninakuahidi kufanya kwa yote ulioniambia.kazi njema huko uliko.
 
Last edited by a moderator:
Hili somo ni zaidi ujuavyo....kwanza jaribu kumjua undani wake, nini anapenda na nini anataka afanyiwe. Hizo jitihada zako zote unaweza kuzifanya zielekee kwenye hayo matakwa.
madam upo huku kumbe
 
Jamaa anasema wanatumia kiswahili ngejera zenu keengeresa hakuna maneno matamu ya kiswahili au ndo kusema tushaathirika na kidhungu???/

Back
Top Bottom