Maneno ya kumbembeleza mpenzi wako

Maneno ya kumbembeleza mpenzi wako

Lifuatalo ni somo nakupa:
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi
3. umjengee mazingira ya kukuomba kufanya mapenzi anapo jisikia si kufuata ratiba zako tu
4.Usimfanye akasirike anapo kuwa na wewe hata kama kakosea mweleze kwa busara na ikiwezekana uwe unahakikisha anafurahia kila jambo lako na maanisha fanya mambo anayoyafurahia mara nyingi.
5. kuwa mbunifu wa mapenzi na mfurahishe kwa zawadi
6.Msaidie kutatua shida zake za kila nyanja kadili unavyoweza
7.Kumbuka wasichana wana mambo mengi mfano kila mwezi wanaingia bleed(anahitaji pedy na kumjali), kusuka, vipodozi, nguo hasa za ndani,n.k jitahidi kuitumia pocket yako karibia nusu ya pesa yako atumie yeye!

kweli kabisa mashairi co mazur kwa sana ila ubunifu ndio la msingi
 
Acha ufala sasa nusu ya pesa atumie yeye budget za maendeleo ntatumia nin kuwekeza .

Mim labda cha kumsadia namfungulia mradi wa pesa naye aingizee pesa .sitak usumbufu pesa yangu ntawekeza tu investment kubwa

Mengine yote hapo juu ntafanya ila kwenye pesa ntakwambia tu aendeshee miradi kwa faida ili anipunguzie mzigo
 
Back
Top Bottom