Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 192
- 17
Naomba kujua yafuatayo kwanza:
1. mna muda gani kwenye mahusiano?
2. Elimu yenu (wewe na yeye)
3. Lugha mnayotumia kuzungumza nyote wawili
4. una malengo gani naye (ni wa kuondolea ukakasi au mchumba)?
Hili somo ni zaidi ujuavyo....kwanza jaribu kumjua undani wake, nini anapenda na nini anataka afanyiwe. Hizo jitihada zako zote unaweza kuzifanya zielekee kwenye hayo matakwa.
Japo ni vigumu kwa watu wanaosoma kidato kimoja kuoana ila maneno ni kama ifuatavyo:-1; mda ni week mbili tu tangu tumeanza mahusiano.
2;elimu yetu (mimi na yeye) ni ya A-LEVEL.
3;na lugha tunazotumia ni mbili tu yani (english & swahili) lakini kiingereza ni mara chache sana mimi na yeye kutumia ktk maongezi yetu.
4; Na malengo yangu kwake si kumtumia tu na kisha kumtelekeza,bari kama mungu akisaidia tuwe mme na mke. Ndiyo hayo tu best matumaini yangu kwake.
Maneno haya lazima yaambatane na vitendo:Jamani unajua "no body is perfect" thats why mimi nimeamua kuongea kuhusu udhaifu wangu katika sector ya mapenzi hasa kwenye kipengele cha "cha maneno ya kubembeleza" so jamani kwa mtu mwenye mistari anaweza kunisaidia ili kusudi kesho akanione mpya kwa maneno ambayo mtanisaidia ndungu zangu wana JF.
1; mda ni week mbili tu tangu tumeanza mahusiano.
2;elimu yetu (mimi na yeye) ni ya A-LEVEL.
3;na lugha tunazotumia ni mbili tu yani (english & swahili) lakini kiingereza ni mara chache sana mimi na yeye kutumia ktk maongezi yetu.
4; Na malengo yangu kwake si kumtumia tu na kisha kumtelekeza,bari kama mungu akisaidia tuwe mme na mke. Ndiyo hayo tu best matumaini yangu kwake.
Nakubali madame: kwani maneno bila vitendo haviwezi kumsaidia. Naunga mkonoHili somo ni zaidi ujuavyo....kwanza jaribu kumjua undani wake, nini anapenda na nini anataka afanyiwe. Hizo jitihada zako zote unaweza kuzifanya zielekee kwenye hayo matakwa.
Nakubali madame: kwani maneno bila vitendo haviwezi kumsaidia. Naunga mkono
Lifuatalo ni somo nakupa:
1. Hakikisha unakuwa msafi kwa kila kitu hasa unapo kuwa naye.
2. hakikisha unampa uhuru wa kutosha mnapo kuwa mnafanya mapenzi namaanisha awe na maamzi juu ya mwili wake usimrazimishe kama hayuko tiari, umuandae kabula ya kutumbukiza dushelele yako, uhakikishe anafika kileleni kila unapofanya naye mapenzi
3. umjengee mazingira ya kukuomba kufanya mapenzi anapo jisikia si kufuata ratiba zako tu
4.Usimfanye akasirike anapo kuwa na wewe hata kama kakosea mweleze kwa busara na ikiwezekana uwe unahakikisha anafurahia kila jambo lako na maanisha fanya mambo anayoyafurahia mara nyingi.
5. kuwa mbunifu wa mapenzi na mfurahishe kwa zawadi
6.Msaidie kutatua shida zake za kila nyanja kadili unavyoweza
7.Kumbuka wasichana wana mambo mengi mfano kila mwezi wanaingia bleed(anahitaji pedy na kumjali), kusuka, vipodozi, nguo hasa za ndani,n.k jitahidi kuitumia pocket yako karibia nusu ya pesa yako atumie yeye!
za ukweli mkuu!
madam upo huku kumbeHili somo ni zaidi ujuavyo....kwanza jaribu kumjua undani wake, nini anapenda na nini anataka afanyiwe. Hizo jitihada zako zote unaweza kuzifanya zielekee kwenye hayo matakwa.
Japo ni vigumu kwa watu wanaosoma kidato kimoja kuoana ila maneno ni kama ifuatavyo:-
Love wasn't put in your heart to stay.
Love isn't love till you give it away.
When I first saw you I was afarid to talk to you
When I first talked to you I was afraid to like you
When I first liked you I was afarid to love you
Now that I love you I'm afraid to lose you
Love is gentle
Love is kind
Love is when...
...two lives combine
If a kiss were a raindrop, I'd send you showers.
If hugs were a second, I'd send you hours.
If smiles were water, I'd send you the sea.
If love was a person, I'd send you me.
I'm not supposed to love you, I'm not supposed to care
I'm not supposed to live my life, wishing you were there
I'm not supposed to wonder where you are or what you do
I'm sorry I just can't help myself, I fell in love with you
I wrote your name in the sand but the waves washed it away
I wrote your name on my hand but I washed it the next day
I wrote your name on a paper but I accidentally threw it away
I wrote your name in my heart and forever it will stay
The day will come when you'll be mine
But I'll just wait till that time
If I have to wait forever, that's what I'll do
Cause I can't live my life without you
Kifupi soma hayo maneno tumia mara nyingi munapo zungumza!