Maneno ya Lamine Yamal tuzo usiku za ballon d’or yana ujumbe kwa vijana

Maneno ya Lamine Yamal tuzo usiku za ballon d’or yana ujumbe kwa vijana

Mr Journalist

Member
Joined
Aug 16, 2025
Posts
44
Reaction score
79
Lamine Yamal ni moja ya watu mwenye kipaji kinachomfanya kuwa miongoni mwa vijana wanaovutia zaidi kwenye soka la dunia, Lamine Yamal bado anaamini kwamba safari yake ndio kwanza inaanza...

Wakati dunia inatarajia makubwa kutoka kwake sasa hivi, yeye anaonekana kuelewa jambo moja muhimu: si lazima ufike kileleni leo ili uthibitishe uwezo wako.
Kuna muda wa kujifunza, kukua, kufanya makosa na kujijenga Usikubali presha ya watu ikufanye ukimbilie matokeo kabla hujajenga msingi imara.

Kama wewe ni kijana mwenye ndoto kubwa, kumbuka:
Usijilinganishe na hatua za wengine,Usilazimishe mafanikio ya haraka, Endelea kujifunza na kuboresha uwezo wako,Amini mchakato hata pale matokeo yanapochelewa kuonekana.

No rush. No pressure. Trust your journey.Huenda leo bado hujafika unapotaka, lakini hiyo haimaanishi kwamba hutafika.

Swali: Mdau nauliza Unajipa muda wa kukua au unajipa presha ya kufanikiwa haraka?


1001663007.jpeg
 
Back
Top Bottom