Maneno ya majukwaani yanaweza kuathiri hukumu kwa kesi iliyopo mahaamani?

Maneno ya majukwaani yanaweza kuathiri hukumu kwa kesi iliyopo mahaamani?

Mnasihi

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
8,385
Reaction score
7,929
Nimejikuta na kiu ya kujifunza kutoka kwa watu wa kada ya Sheria mliomo hapa jf Kama hamtojali kutumia muda wenu kutuelimisha.

Nitafurahi Kama mtanisaidia kuelewa juu ya kauli zinazotolewa nje ya vyumba vya mahakama zinavyoweza KUATHIRI mwenendo na hukumu ya kesi ILIYOPO mahakamani.
 
 
Back
Top Bottom