Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini?
Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii nao ni nani?