Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasira zako hazitakuepusha na kichapo.Wewe ndo utapata aibu na Hilo lisura lako sijui utaliweka wapi.. kama vp njoo uwanjani na ww tukupakuwe leo
Ungry za wapi ww.. me ndo nakupasha hvyo MzeeHasira zako hazitakuepusha na kichapo.
Mkifungwa nyinyi ni bonanza, sisi tulifungwa na Vipers mkalivalia shangaJifarijini ila leo saa 12 jioni utaweza kutofautisha KAMA HII na ya leo. Utatambua Bonanza na michuano ni vitu viwili tofauti
Nyie mna record gani?Timu yangu Yanga haina uwezo wowote linapokuja suala la CAFCL record hazidanganyi, tusijidanganye kwa kumfunga Zalan Fc.
Hatuna record nzuri mkuu ndio mana naona hawa Al Hilal watakuwa kizingiti kwetu.Nyie mna record gani?
yametimia,...😀😀😀Endeleeni kujifariji tu Utoporoo mkijitahidi sana leo angalau draw ila maumivu ya kufungwa na hatimaye kutolewa tena yapo palepale.......mark my words
Simba msiwe na hofu Alksasi haki, Leo tunakwenda kuwalipia kisasi pale walipo wabandua goli Moja kule Sudani.
Kaeni Kwa utulivu tunakwenda kuwaonyeaha mpira ni uwekezaji, historia Haina nafasi katika mpira wa kisasa.
AhahahahhahaaSimba msiwe na hofu Alksasi haki, Leo tunakwenda kuwalipia kisasi pale walipo wabandua goli Moja kule Sudani.
Kaeni Kwa utulivu tunakwenda kuwaonyeaha mpira ni uwekezaji, historia Haina nafasi katika mpira wa kisasa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini?
Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa Simba watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu. Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii nao ni nani?