Unavoidable Servant
JF-Expert Member
- Oct 13, 2021
- 1,728
- 4,545
Naipenda sana Yanga, ila mwenge uliopo kwenye jezi yetu haukimbizwi nje ya mipaka yetu.Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini?
Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa mbumbumbu FC watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu, Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii nao ni nani?
Uwekezaji uliofanyika na GSM Mwana Yanga wa kweli hawezi kusema hivi.Naipenda sana Yanga, ila mwenge uliopo kwenye jezi yetu haukimbizwi nje ya mipaka yetu.
Kaaa kitako kwa kutulia ndio utajuwa nini maana ya Mageuzi na uwekezaji mkubwa katika mpira.Mnatema sumu midomoni wenzenu wanatema sumu miguuni mpira unakochezwa. Yanga mnaweweseka sana. Hamjiamini.
Kama kuna kitu mnajidanganya sana,ni eti kwa vile huwa mnaifunga Simba ambayo El hilal hawaiwezi basi mmejipa ticket ya moja kwa moja kuwa mtaifunga tena na idadi ya goli mnasema ni 3!Leo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini?
Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa mbumbumbu FC watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu, Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii nao ni nani?
Kila kitu kinaanzia kwenye ulimwengu wa roho ndipo huonekana/ hudhihirika kwenye ulimwengu wa mwili. Kwenye ulimwengu wa roho, Yanga nje ya mipaka yetu ni kama unyasi tu, kila mtu anajikanyagia na hauna uwezo wa kuzuia chochote.Uwekezaji uliofanyika na GSM Mwana Yanga wa kweli hawezi kusema hivi.
Ulitaka ufike wapi na kina Ditram Nchimbi, Molinga na kocha Mwinyi Zahera? Ulishawahi kuona kocha anavaa kaptula?
Kaa kitako kwa kutumia uone thamani ya pesa leo.
Watakuja na gia nyingine maana awakosi vimaneno vya kujiliwaza wakishaona mambo yamekwenda tofauti na matarajio yaoLeo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini?
Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa mbumbumbu FC watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu, Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii nao ni nani?
Kama hii?Yamebaki masaa machache nchi iingie kwenye aibu.
Nahisi hii timu ndio imefanya timu yenu ya Taifa yaani Taifa Staaz iitwe kichwa cha Mwendawazimu. Matokeo yao hufanana sana na hata mashabiki wana imaninkubwa mno na timu yao fekiLeo Yanga inakwenda kuonesha kwa vitendo maana ya uwekezaji kwenye soka ni nini?
Baada ya Al hilal kupigwa kama ngoma mashabiki wa mbumbumbu FC watasikika wakisema hii Al hilal ni Zalan iliyochangamka tu, Sasa na wewe waulize wale waliopigwa mbili mbele na nyuma na Fiston Mayele kwenye ngao ya jamii nao ni nani?
Mwenge wa Olympic unavuka mipakaNaipenda sana Yanga, ila mwenge uliopo kwenye jezi yetu haukimbizwi nje ya mipaka yetu.
Jifarijini ila leo saa 12 jioni utaweza kutofautisha KAMA HII na ya leo. Utatambua Bonanza na michuano ni vitu viwili tofauti
Wewe ndo utapata aibu na Hilo lisura lako sijui utaliweka wapi.. kama vp njoo uwanjani na ww tukupakuwe leoYamebaki masaa machache nchi iingie kwenye aibu.
Timu yangu Yanga haina uwezo wowote linapokuja suala la CAFCL record hazidanganyi, tusijidanganye kwa kumfunga Zalan Fc.