Maneno ya mashabiki wa Simba baada ya dakika 90 za mchezo wa leo

Simba msiwe na hofu Alksasi haki, Leo tunakwenda kuwalipia kisasi pale walipo wabandua goli Moja kule Sudani.
Kaeni Kwa utulivu tunakwenda kuwaonyeaha mpira ni uwekezaji, historia Haina nafasi katika mpira wa kisasa.
 
Mashindano ya CAF siyo ya mchezo mchezo..hadi watu wanabadili Id..hujambo Matola
 
Al hilal na Utopolo timu ipi ina uwekezaji mkubwa,ukipata jibu aliyewekeza sana ndo yupo kwenye nafasi kubwa ya kushinda.
 
Jifarijini ila leo saa 12 jioni utaweza kutofautisha KAMA HII na ya leo. Utatambua Bonanza na michuano ni vitu viwili tofauti
Mkifungwa nyinyi ni bonanza, sisi tulifungwa na Vipers mkalivalia shanga
 
Vip mwana uto uwanja umetapika?
 
MAMA JENI BYE BYE UTOPOLO BYE BYE [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Mechi ya kirafiki tofauti mashindano..mnatutia aibu tu
Simba msiwe na hofu Alksasi haki, Leo tunakwenda kuwalipia kisasi pale walipo wabandua goli Moja kule Sudani.
Kaeni Kwa utulivu tunakwenda kuwaonyeaha mpira ni uwekezaji, historia Haina nafasi katika mpira wa kisasa.
 
Hiiiooo nsiooo ndiooo bwanaaaa tunakurudishiaaa utukufu wakooo babaaaa
 
Simba msiwe na hofu Alksasi haki, Leo tunakwenda kuwalipia kisasi pale walipo wabandua goli Moja kule Sudani.
Kaeni Kwa utulivu tunakwenda kuwaonyeaha mpira ni uwekezaji, historia Haina nafasi katika mpira wa kisasa.
Ahahahahhahaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…