Maneno ya mke wa mtu, yamenishtua

Kuzalisha mwanamke anayejitegemea ni mzigo mkubwa sana , wanaongea kirahisi sana lakini wakishapata mimba mtiti ndio unaanza utagharamia mpaka ukome akijifungua ni balaa zaidi kwa ujumla oa tulia na wako achana na hii zaa zaa nje. From experience.
vipi ilikuwaje tupe experience.natanguliza shukrani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walawi:20.10
Na mtu aziniye na mke wa mtu mwingine, naam, yeye aziniye na mke wa jirani yake, mtu mume aziniye, na mwanamke aziniye, hakika watauawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuzalisha mwanamke anayejitegemea ni mzigo mkubwa sana , wanaongea kirahisi sana lakini wakishapata mimba mtiti ndio unaanza utagharamia mpaka ukome akijifungua ni balaa zaidi kwa ujumla oa tulia na wako achana na hii zaa zaa nje. From experience.
Wanawake karibu wote kama sio wengi wasikie tu kwenye maneno na mdomo hata kama ni prof hawezi kujiendesha kimaisha kisawa sawa yakanyoka bila mwanaume. Utawasikia tu wakisema mimi sihitaji mwanaume na natafuta nizae nitalea mwenyewe!! Hahaha.... mpige mimba sasa uone! Atakuganda mpama utajuta. Uzazi ni zaidi ya kuwa napesa za kununua nyama na kulipa ada.
 
Demu yuko 8yrs kwenye ndoa, dogo anasema ni mzuri sana kaumbika na bado anasoma chuo X. Huyu Dogo ni janga naona katoka kijijini huko kila demu mjini anaona ni kisu.
 
Ngoja ni wasaidie wadau watakao kuja kukutembelea siku moja:
Bei ya ky tube ndogo ni 14500
Bei ya ky box moja lilojaa vizuri ni 45000
Mzigo upo madukani
 
Kuzalisha mwanamke anayejitegemea ni mzigo mkubwa sana , wanaongea kirahisi sana lakini wakishapata mimba mtiti ndio unaanza utagharamia mpaka ukome akijifungua ni balaa zaidi kwa ujumla oa tulia na wako achana na hii zaa zaa nje. From experience.
Absolutely true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi inakuwaje unakuwa na mazoea na mke wa mtu kiasi hicho?
Mke wa mtu salam tu inamtosha!
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…