Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
usioe tu kuepusha hayo yoteMie huwa nikimkuta na mke wangu nampiga bomba tu sina maskhara
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usioe tu kuepusha hayo yoteMie huwa nikimkuta na mke wangu nampiga bomba tu sina maskhara
vipi ilikuwaje tupe experience.natanguliza shukraniKuzalisha mwanamke anayejitegemea ni mzigo mkubwa sana , wanaongea kirahisi sana lakini wakishapata mimba mtiti ndio unaanza utagharamia mpaka ukome akijifungua ni balaa zaidi kwa ujumla oa tulia na wako achana na hii zaa zaa nje. From experience.
Walawi:20.10Poleni na kazi wakuu, hapa mtaani nilipopanga kuna mke wa mtu, kidogo hua tunapenda kupiga story, za hapa na pale na kiukweli anapenda sana kampani yangu, yeye na mme wake wana miaka 8 kwenye ndoa.
huyu mwanamke ukimwangalia huwezi jua kama ana mtoto au aliwai kuoelewa ata kipindi nmeamia mtaa huu niliwai kumpga swaga na kiumri amenipita kama miaka mitano, ila tukisimama ni kama mdogo wangu ni binti mrembo sana na anasoma chuo x.
Leo tukaanzisha story kuhusu single mother, akasema anatamani saba kua single mother, na akasema hafurahii ndoa yake ata kidogo, angejua asingefunga ndoa, anajua mi sina mpenzi sana sana anajua nina wadada wa kupita tu.
akasema ana uwezi wa kuamua kuachika na akawa na mji wake, na asiolewe tena akaja kwangu nkampa ata watoto wawili akatulia na mara nyingi hua anakuja getoni kwangu anakaa kama dk.5 alafu anaondoka kuogopa wambea japo tunaheshimiana sana.
nkamwambia ila wewe si mke wa mtu, unaweza kuchepuka kweli, akasema siwezi labda nianze leo, akanambia kwani wanaochepuka na mimi tuna tofauti gani, nkachela kidogo, kumla siwezi namuogopa sana mke wa mtu japo ni binti mdogo, mweupe ana shape na mrembo haswa.
ila staacha kumpa kampani, wewe mwanaume unaemnyanganya simu mkro ety unafatilia simu sjui watu wanaomtongoza, mkeo hapendi ila utapelekea akusaliti maana unamkera kweli.
#korona inaua #fuata taratibu #stay safe
Sent using Jamii Forums mobile app
umeandika tu lakin uzi karibu wote umechapia mjomba cjui ulikuwa na haraka gan
Sent using Jamii Forums mobile app
sawa sawaKwa akili hizi za mtoa mada,hakika corona itazidi kutuangamiza hadi mwaka uishe!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukataa kuoa kwa sababu ya kuogopa kuchapiwa huo nao ni woga wa kidemu chukua chombo mnachoendana halafu mtu akishobokee aone wanawake wenyewe wanapenda mwanamme mbabe mbabe ukiwa umnyonge ataipigisha sana nje
kweli mkuuKukataa kuoa kwa sababu ya kuogopa kuchapiwa huo nao ni woga wa kidemu chukua chombo mnachoendana halafu mtu akishobokee aone wanawake wenyewe wanapenda mwanamme mbabe mbabe ukiwa umnyonge ataipigisha sana nje
Wanawake karibu wote kama sio wengi wasikie tu kwenye maneno na mdomo hata kama ni prof hawezi kujiendesha kimaisha kisawa sawa yakanyoka bila mwanaume. Utawasikia tu wakisema mimi sihitaji mwanaume na natafuta nizae nitalea mwenyewe!! Hahaha.... mpige mimba sasa uone! Atakuganda mpama utajuta. Uzazi ni zaidi ya kuwa napesa za kununua nyama na kulipa ada.Kuzalisha mwanamke anayejitegemea ni mzigo mkubwa sana , wanaongea kirahisi sana lakini wakishapata mimba mtiti ndio unaanza utagharamia mpaka ukome akijifungua ni balaa zaidi kwa ujumla oa tulia na wako achana na hii zaa zaa nje. From experience.
Demu yuko 8yrs kwenye ndoa, dogo anasema ni mzuri sana kaumbika na bado anasoma chuo X. Huyu Dogo ni janga naona katoka kijijini huko kila demu mjini anaona ni kisu.Kwanza hujasema una tatizo gani. Domo zege au woga kutongoza?? Ulivyo jieleza ni kwamba hata kuja gheto ni huyu mwanamke hujileta tu. Anakuja hana chupi tiyari ili angalao umwangushe kitandani lakini anakaa masaa ukiwa unamhadithia story za vyuo au vyoo halafu anajifanya kuondoka. We unamtoa nje anaenda na uchu wahe ka aliouleta.
Hii stori inaonesha kuwa we ni kachangaa flani hivi wala hujawahi ona hata tundu bovu. Pole sana kwa kukutana na rema jembamba ambalo siku unatumbukiamo ndo kwisha yako.
Ushauri;
Akija, funga mlango wako tokomea kusiko julikana. Usizidi kumkaribisha. Nenda tafuta mke wako. Tafuta huko mitaani au vijijini. Oa, achana na used. Lini utafungua kitu chako kutoka kwenye box?? Kweli vijana mnatishaaaa. Ganda la muwa la jana, unajivunia?? Ati mtoto kaumbika, nikisimama naye utadhani mdogo kwangu,,,Hayo ni maneno ya punguani
Absolutely trueKuzalisha mwanamke anayejitegemea ni mzigo mkubwa sana , wanaongea kirahisi sana lakini wakishapata mimba mtiti ndio unaanza utagharamia mpaka ukome akijifungua ni balaa zaidi kwa ujumla oa tulia na wako achana na hii zaa zaa nje. From experience.
[emoji121] kijana chukua ujumbe huu,,Na wewe ukaamini mkuu anavyokudanganya achana na sisi viumbe mkuu ana lengo lake hapo
Hivi inakuwaje unakuwa na mazoea na mke wa mtu kiasi hicho?
Mke wa mtu salam tu inamtosha!
HahahaPoleni na kazi wakuu, hapa mtaani nilipopanga kuna mke wa mtu, kidogo hua tunapenda kupiga story, za hapa na pale na kiukweli anapenda sana kampani yangu, yeye na mme wake wana miaka 8 kwenye ndoa.