Makavu laivuKwanza hujasema una tatizo gani. Domo zege au woga kutongoza?? Ulivyo jieleza ni kwamba hata kuja gheto ni huyu mwanamke hujileta tu. Anakuja hana chupi tiyari ili angalao umwangushe kitandani lakini anakaa masaa ukiwa unamhadithia story za vyuo au vyoo halafu anajifanya kuondoka. We unamtoa nje anaenda na uchu wahe ka aliouleta.
Hii stori inaonesha kuwa we ni kachangaa flani hivi wala hujawahi ona hata tundu bovu. Pole sana kwa kukutana na rema jembamba ambalo siku unatumbukiamo ndo kwisha yako.
Ushauri;
Akija, funga mlango wako tokomea kusiko julikana. Usizidi kumkaribisha. Nenda tafuta mke wako. Tafuta huko mitaani au vijijini. Oa, achana na used. Lini utafungua kitu chako kutoka kwenye box?? Kweli vijana mnatishaaaa. Ganda la muwa la jana, unajivunia?? Ati mtoto kaumbika, nikisimama naye utadhani mdogo kwangu,,,Hayo ni maneno ya punguani
Sent from my TECNO LB6 using Tapatalk