Maneno ya mkosaji special thread

Maneno ya mkosaji special thread

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Ndugu zangu huku tukisubiria mwaka mpa tutumie huu uzi kujuzana maneno ya wakosaji, yaani yale maneno wanayotumia wasionacho kujifariji wakiowaona wenye nacho. Mimi nitaanza na haya.

"Kwani IST nayo gari sasa" (hapo jamaa anasubiri foleni ya mwendokasi Kimara - Morocco

"Huyo dem tumegonga sana yeye ndo anakula sasahivi" (Jamaa hapo ni chaputa mtukufu hata hajui K zinanukiaje sikuhizi na wala hela ya kuhonga pisikali hana)
 
Matajiri wanapesa lakini hawana amani

Kama naingia whatsapp,ig,fb natuma sms napiga na kupigiwa,;simu ya laki nane mi yanini si ujinga huo😁😁

Usitamani mafanikio ya mtu ,mafanikio yanasiri kubwa

Mali na majumba vyote ni vitu vya kupita nq utaviacha kwa maana sote tutaenda kaburini
 
Ndugu zangu huku tukisubiria mwaka mpa tutumie huu uzi kujuzana maneno ya wakosaji, yaani yale maneno wanayotumia wasionacho kujifariji wakiowaona wenye nacho. Mimi nitaanza na haya.

"Kwani IST nayo gari sasa" (hapo jamaa anasubiri foleni ya mwendokasi Kimara - Morocco

"Huyo dem tumegonga sana yeye ndo anakula sasahivi" (Jamaa hapo ni chaputa mtukufu hata hajui K zinanukiaje sikuhizi na wala hela ya kuhonga pisikali hana)
Demu mwenyewe mbaya mashavu kaa puto🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom