HahaaaMatajiri wanapesa lakini hawana amani
Kama naingia whatsapp,ig,fb natuma sms napiga na kupigiwa,;simu ya laki nane mi yanini si ujinga huo😁😁
Usitamani mafanikio ya mtu ,mafanikio yanasiri kubwa
Mali na majumba vyote ni vitu vya kupita nq utaviacha kwa maana sote tutaenda kaburini
Umaskini ni jau sana mkuuHahaaa
Huu umekaa kikatili sana😂😂Akafie mbele huko.
Ila nyieee😂😂😂Ana vimbaaaa wakati gari lenyewe la mkopo (wakati yeye hakopesheki hata songesha)
Demu mwenyewe mbaya mashavu kaa puto🤣🤣🤣Ndugu zangu huku tukisubiria mwaka mpa tutumie huu uzi kujuzana maneno ya wakosaji, yaani yale maneno wanayotumia wasionacho kujifariji wakiowaona wenye nacho. Mimi nitaanza na haya.
"Kwani IST nayo gari sasa" (hapo jamaa anasubiri foleni ya mwendokasi Kimara - Morocco
"Huyo dem tumegonga sana yeye ndo anakula sasahivi" (Jamaa hapo ni chaputa mtukufu hata hajui K zinanukiaje sikuhizi na wala hela ya kuhonga pisikali hana)