Lyaka mlima
Senior Member
- Dec 21, 2017
- 140
- 83
ExctlyNamuona mtoto wakajala na monalisa wakiwa wanafuata nyayo za dada yao lulu,
Sijui kwanini wazazi wanashindwa ku-take control na watoto wao,
Inawezekana vipi mtoto mdogo kisa tu kauigizaji ka kijinga kijinga unamtuhusu azulure kwenye kumbi za starehe 24/7
Anachokipata lulu ni matokeo ya wazazi kutoku-play nafasi yao vizuri mpaka mwanao anateseka
Asante mkuuAisee ndo unajua leo mkuu au kwa sababu ni lulu kafungwa jela kakunung'unikia sana?
Askari magereza wadharau uraian tu ila ukiingia mikononi mwao utawajua vzr.
Asantw mkuuKwani wewe hujawahurumia ama kuwaona wengine jamani. Wote ni binadamu wana haki sawa pia wote waliomo humo sio wote wana Hata ya makosa waliyohukumiwa
Ndio ushangae mkuuJela sio kuzuri kwa Lulu peke yake ama?
Sielewi dhima ya habari hii ni nini haswa...
ooh jela noma na hapo bado hujapigiwa kampeni uku hujasingiziwa na kiherehere na nyapara ukachezea tochi kama zote kunywa maji umechumamaa ongea na askar uku umepiga magoti dah bora uhuru lakini sio jela hakuna mtu aliyepeazoea jela!Kama jela shule mpeleke mwanaoni zaidi ya hapo...nikipata muda nitasimulia. ni jehanamu ndogo
Jela sio kuzuri kwa Lulu peke yake ama?
Sielewi dhima ya habari hii ni nini haswa...
Heri ya chrismas douta...how's everything!!Dah umemissika ujue...
Wale wanapokea wanasiasa,mawaziri, Polisi, wanajeshi, hata Makomandoo na bado wanawatia adabu ....hatari sana ...Aisee ndo unajua leo mkuu au kwa sababu ni lulu kafungwa jela kakunung'unikia sana?
Askari magereza wadharau uraian tu ila ukiingia mikononi mwao utawajua vzr.
Dad got into an accident,so he will never b thereDad is coming...
mtafuta kickHuyu Mwijaku ni mwanariadha wa mbio fupi au ni mcheza filamu?,
afadhali wew umenenavyema zaidUnamwona lulu tu ndio wa maana na kaingia Junzi. Kuna watu hata makosa hawana na wanazidi ya 10 year's huwaoni mkuu?????
Heri ya chrismas douta...how's everything!!