Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
huyo jamaa ana tafuta kiki ya kutokeaHuyo mwijaku ni nani?au ndio wale vijana wa slopeee wa mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo jamaa ana tafuta kiki ya kutokeaHuyo mwijaku ni nani?au ndio wale vijana wa slopeee wa mjini
lulu hakuwa na kosa ila marehemu ndiye aliyestahili hukumu kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo ila kwa kuwa jamii yetu ni ya kuwaonea wanawake ndo maana unazungumza hivyo....Inatakiwa mama kanumba akate rufaa ya kutorizika na adhabu kwani ni ndogo sana aongezewe ata miaka iwe 15 au 10 kwa kosa alilofanya hiyo adhabu ni ndogo sana
Mkuu unauliza iliishia wapi...ndo picha limeanza hivyo we vuta popcorn kaa pembeni uone picha linaendaje.Kuna Kauai ilitoka Kwamba , asijali Dad is coming. Iliishia wapi?
Mimi huyo Mjaku kaniboa kweli... Ndio maana alikua hataki aonane nae.. mtu anamuelezea changamoto zake yeye huyo kapost kwenye Social network. Binadam bwanaMwijaku ameshakuwa chakubimbi sasa.....sasa nimeelewa kwanini Lulu hakutaka atembelewe na mtu kama yeye....kwakuwa alijua kabisa atakuja kwenye mitandao kumuanika kwa kufikiri ana msaidia....
Sasa angalia anavyo mdhalilisha baba na Familia ya Lulu.........
Huyu jamaa anapenda umbea sana tena sana.....
Huyu jamaa amenikera sana leo....sijui kwanini mtu mwanaume mwenye watoto ana kosa kifua namna hii...unakwenda kumfariji mtu huku unakuja kudhalilisha familia yake kiasi hiki as if ilikuwa lazima kusema walikuwa wanamtegemea mtoto kama yule....Mimi huyo Mjaku kaniboa kweli... Ndio maana alikua hataki aonane nae.. mtu anamuelezea changamoto zake yeye huyo kapost kwenye Social network. Binadam bwana
Ndivyo hali ilivyo uko mkuu?na mm nitamtembelea nakashuduie jinsi alivyopauka na kusuka mabutu...kulala saa kumi, kulala kabisa mchongoma ni saa 3 usiku, hapo ni baada ya nyapala kuwapa lecture ya nguvu kuhusu usafi wa choo...kwamba hakuna kunya usiku, kunya kabla hujaingia kulala...kunya tu endapo una tumbo la kuhara,....lecture ya kama masaa 2 hivi kumbe inahusu choo na kukimbia haraka mkiamka asubuhi dah...Lulu weee
Kweli kabisa mkuu...af et anajipa ujiko kuilea familia.....jamani jamani!! Kujiuza uza mixer kukaa uchi mitandaoni still kaka mtu anapokea hela ya dada et katoka job (location) asubuhi. Eeeh Mola wangu wasameheNamuona mtoto wakajala na monalisa wakiwa wanafuata nyayo za dada yao lulu,
Sijui kwanini wazazi wanashindwa ku-take control na watoto wao,
Inawezekana vipi mtoto mdogo kisa tu kauigizaji ka kijinga kijinga unamtuhusu azulure kwenye kumbi za starehe 24/7
Anachokipata lulu ni matokeo ya wazazi kutoku-play nafasi yao vizuri mpaka mwanao anateseka
Hahahhaaha kama mazuri vile daaahna mm nitamtembelea nakashuduie jinsi alivyopauka na kusuka mabutu...kulala saa kumi, kulala kabisa mchongoma ni saa 3 usiku, hapo ni baada ya nyapala kuwapa lecture ya nguvu kuhusu usafi wa choo...kwamba hakuna kunya usiku, kunya kabla hujaingia kulala...kunya tu endapo una tumbo la kuhara,....lecture ya kama masaa 2 hivi kumbe inahusu choo na kukimbia haraka mkiamka asubuhi dah...Lulu weee
Mi niliwekwa selo na mzee mmoja et nmempiga mwanae... nilibakiza kama mita 1 kuingia kwa mganga nimuulie mbaliJela sio pazuri kabisaa me kuna mtu aliniweka polisi kituo cha kati kwa masaa ma 4 sjawahi msamehe kila nikiwaza uwa naumia sana afu ni ndugu
Nimeiona point yakoMwijaku ameshakuwa chakubimbi sasa.....sasa nimeelewa kwanini Lulu hakutaka atembelewe na mtu kama yeye....kwakuwa alijua kabisa atakuja kwenye mitandao kumuanika kwa kufikiri ana msaidia....
Sasa angalia anavyo mdhalilisha baba na Familia ya Lulu.........
Huyu jamaa anapenda umbea sana tena sana.....
ni zaidi ya hapo...nikipata muda nitasimulia. ni jehanamu ndogoNdivyo hali ilivyo uko mkuu?
Ni kweli mkuu.. ila kwa hili amefanya sio ustaarabu sidhani kama kulikuwa na umuhimu wa yeye kuandika haya yote.. ndio tatizo watz tulio wengi.Jamaa anatafuta kiki kwa pikipiki hana jipya!
huyu jamaa dah!Jela sio kuzuri kwa Lulu peke yake ama?
Sielewi dhima ya habari hii ni nini haswa...
Halafu yalipompata akadai mtoto. Aliendaje kwa mwanaume? Aliendaje kumbi za starehe. Ustaa na jeuri ya fedha leo havijamsaidia. Acha ale mshahara wa kiburi cha ustaa.Namuona mtoto wakajala na monalisa wakiwa wanafuata nyayo za dada yao lulu,
Sijui kwanini wazazi wanashindwa ku-take control na watoto wao,
Inawezekana vipi mtoto mdogo kisa tu kauigizaji ka kijinga kijinga unamtuhusu azulure kwenye kumbi za starehe 24/7
Anachokipata lulu ni matokeo ya wazazi kutoku-play nafasi yao vizuri mpaka mwanao anateseka