Maneno ya Mwijaku baada ya kumtembelea Lulu gerezani

Maneno ya Mwijaku baada ya kumtembelea Lulu gerezani

Inatakiwa mama kanumba akate rufaa ya kutorizika na adhabu kwani ni ndogo sana aongezewe ata miaka iwe 15 au 10 kwa kosa alilofanya hiyo adhabu ni ndogo sana
lulu hakuwa na kosa ila marehemu ndiye aliyestahili hukumu kwa kuwa na mahusiano na binti mdogo ila kwa kuwa jamii yetu ni ya kuwaonea wanawake ndo maana unazungumza hivyo....

wengine wanasema ni mshahara wa kufanya umalaya katika umri mdogo lakini je hao watu wazima waliokuwa wanamrubuni huku wakijua umri wake si sahihi
, nao hawastahili adhabu au kwa kuwa ni wanaume ????.....

binafsi yangu naona lulu alikuwa mtoto na alikuwa amefikia umri wa kujaribu kila kitu plus umaarufu aliokuwa nao ndio ukamponza mazima lakini vipi huko mitaani kwa mabinti wa miaka 17 ambao wana misururu ya mabwana na wakijiuza kabisaaa , je nao hawastahili hukumu au kwa kuwa hawakukutwa na mtihani huo...

kama wewe ni mtakatifu sana ambaye hukuwahi zini na mwanamke asiye mkeo au kufanya dhambi yoyote ile na uwe wa kwanza kutoa hukumu katika hili
 
Kuna Kauai ilitoka Kwamba , asijali Dad is coming. Iliishia wapi?
Mkuu unauliza iliishia wapi...ndo picha limeanza hivyo we vuta popcorn kaa pembeni uone picha linaendaje.
 
Mwijaku ameshakuwa chakubimbi sasa.....sasa nimeelewa kwanini Lulu hakutaka atembelewe na mtu kama yeye....kwakuwa alijua kabisa atakuja kwenye mitandao kumuanika kwa kufikiri ana msaidia....
Sasa angalia anavyo mdhalilisha baba na Familia ya Lulu.........
Huyu jamaa anapenda umbea sana tena sana.....
Mimi huyo Mjaku kaniboa kweli... Ndio maana alikua hataki aonane nae.. mtu anamuelezea changamoto zake yeye huyo kapost kwenye Social network. Binadam bwana
 
Mimi huyo Mjaku kaniboa kweli... Ndio maana alikua hataki aonane nae.. mtu anamuelezea changamoto zake yeye huyo kapost kwenye Social network. Binadam bwana
Huyu jamaa amenikera sana leo....sijui kwanini mtu mwanaume mwenye watoto ana kosa kifua namna hii...unakwenda kumfariji mtu huku unakuja kudhalilisha familia yake kiasi hiki as if ilikuwa lazima kusema walikuwa wanamtegemea mtoto kama yule....
Wanawake huwambia siri zao wanaume wakijua wanavifua vya kuhifadhi lakini mambo ni tofauti kwa sasa..
Jamaa ana lazimisha umaarufu sana.....anataka kuwa kama Hamorapa....
 
Mi ninampango wa kwenda kumtoa na kumfanya mama wa watoto wangu.........au mnasemaje wakurugenzi...!!!!
 
na mm nitamtembelea nakashuduie jinsi alivyopauka na kusuka mabutu...kulala saa kumi, kulala kabisa mchongoma ni saa 3 usiku, hapo ni baada ya nyapala kuwapa lecture ya nguvu kuhusu usafi wa choo...kwamba hakuna kunya usiku, kunya kabla hujaingia kulala...kunya tu endapo una tumbo la kuhara,....lecture ya kama masaa 2 hivi kumbe inahusu choo na kukimbia haraka mkiamka asubuhi dah...Lulu weee
 
Ndivyo hali ilivyo uko mkuu?
 
Namuona mtoto wakajala na monalisa wakiwa wanafuata nyayo za dada yao lulu,

Sijui kwanini wazazi wanashindwa ku-take control na watoto wao,

Inawezekana vipi mtoto mdogo kisa tu kauigizaji ka kijinga kijinga unamtuhusu azulure kwenye kumbi za starehe 24/7

Anachokipata lulu ni matokeo ya wazazi kutoku-play nafasi yao vizuri mpaka mwanao anateseka
Kweli kabisa mkuu...af et anajipa ujiko kuilea familia.....jamani jamani!! Kujiuza uza mixer kukaa uchi mitandaoni still kaka mtu anapokea hela ya dada et katoka job (location) asubuhi. Eeeh Mola wangu wasamehe
 
na mm nitamtembelea nakashuduie jinsi alivyopauka na kusuka mabutu...kulala saa kumi, kulala kabisa mchongoma ni saa 3 usiku, hapo ni baada ya nyapala kuwapa lecture ya nguvu kuhusu usafi wa choo...kwamba hakuna kunya usiku, kunya kabla hujaingia kulala...kunya tu endapo una tumbo la kuhara,....lecture ya kama masaa 2 hivi kumbe inahusu choo na kukimbia haraka mkiamka asubuhi dah...Lulu weee
Hahahhaaha kama mazuri vile daaah
 
Jela sio pazuri kabisaa me kuna mtu aliniweka polisi kituo cha kati kwa masaa ma 4 sjawahi msamehe kila nikiwaza uwa naumia sana afu ni ndugu
Mi niliwekwa selo na mzee mmoja et nmempiga mwanae... nilibakiza kama mita 1 kuingia kwa mganga nimuulie mbali
 
Mwijaku ameshakuwa chakubimbi sasa.....sasa nimeelewa kwanini Lulu hakutaka atembelewe na mtu kama yeye....kwakuwa alijua kabisa atakuja kwenye mitandao kumuanika kwa kufikiri ana msaidia....
Sasa angalia anavyo mdhalilisha baba na Familia ya Lulu.........
Huyu jamaa anapenda umbea sana tena sana.....
Nimeiona point yako
 
Kijana nimekuelewa vizuri sana lakini ujue kuna makosa ya kusameheana na kuna haya makosa yanayoitwa ya Jinai siyo yetu je tufanyeje?ukiua mtu hata sisi tukikusamehe haisaidii hawa jamaa lazima wakushitaki maana hiyo ni jinai mjaku.Ukienda kule tena msalimie lulu.Mwambie aangalie opportunity ya movie huko,yaani story ya movie maana amekutana na wafungwa wengine.Akitoka akiwa na hiyo story awashirikishe aliojuana nao huko kwenye movy yake hiyo.Anaweza kuwa na movie nzuri yenye maudhui mazuri maana ana muda mwingi wa kutunga.Je amepata shemegi huko?
 
Namuona mtoto wakajala na monalisa wakiwa wanafuata nyayo za dada yao lulu,

Sijui kwanini wazazi wanashindwa ku-take control na watoto wao,

Inawezekana vipi mtoto mdogo kisa tu kauigizaji ka kijinga kijinga unamtuhusu azulure kwenye kumbi za starehe 24/7

Anachokipata lulu ni matokeo ya wazazi kutoku-play nafasi yao vizuri mpaka mwanao anateseka
Halafu yalipompata akadai mtoto. Aliendaje kwa mwanaume? Aliendaje kumbi za starehe. Ustaa na jeuri ya fedha leo havijamsaidia. Acha ale mshahara wa kiburi cha ustaa.
 
Back
Top Bottom