crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Comment yako niu null and void mkuu.
Mkuu the God of the Bible ndiye Mungu wa kweli kwa kuwa Yeye peke yake ndiye aliyejitambulisha na creation,no other.Kwa bahati nzuri no other demonic so called religion has ever claimed that it's "god" is reponsible for creation.Wengine wote ni bla bla tu.
The following clip should be able to convince you that God exists.
View: https://youtu.be/-iuGn9jSPmQ
Matatizo yenu ni kwamba mnamlinganisha Mungu na wanadamu.Look at the characteristics of God below.There is nothing he can't do(1),and there is nothing he does not know(2),so hata kama hakuumba races tangu Adam na Hawa,He can do it later at a time of His own choosing,hapangiwi.halafu umesoma biology,genetics? Kama stori za uumbaji ni za kweli, unadhani kwa nini kuna races nyingi hapa duniani wakati mungu alimuumba adam na hawa tu? This means their descendants have to be identical in term of race.
Sikiliza wewe nikuelimishe.Nimetumia neno "demonic" somewhere nilipokuwa naelezea "Dini." Chochote kinachoitwa Dini au Dhehebu ni demonic,unless you mean Dini as "behaviour."je, wajua kuwa waislam na wayahudi nao hutumia hizo hadithi za biblia kumuhusu mungu(abrahamic religions)?
Kwa nini kuwe na utata kumuhusu huyu mungu kana kwamba waislam, wakristo na wayahudi wameshindwa kukubaliana kumuhusu?
umewahi kuwa muislam,myahudi na hatimaye mkristo na mwisho kuhitimisha kuwa god due to christianity ndio mungu wa kweli?
Matatizo yenu ni kwamba mnamlinganisha Mungu na wanadamu.Look at the characteristics of God below.There is nothing he can't do(1),and there is nothing he does not know(2),so hata kama hakuumba races tangu Adam na Hawa,He can do it later at a time of His own choosing,hapangiwi.
1.Omnipotence
2.Omniscience
3.Omnipresence
4.Compassion
5.Holiness
6.Immutability
7.Love
8.Transcendence
9.Eternity
10.Sovereignty
11.Good
12.Mercy
nampenda Mungu"Maisha ni simple tu ukifa unaingia kaburini."
"Uwe na upendo, uwe na amani, saidia rafiki zako na Mungu atakusaidia pia."
"Nampenda Yesu. Napenda kula."
๐nampenda Mungu
napenda kula
Mkuu Allah atakuwaje na attributes za a true God,that is unthinkable,Hana kabisa.Hebu niambie,Allah aliwahi kuumba nini,literally nothing.unajua hizi sifa zote allah anazo?
Ndio maana nakwambia mungu kajificha sana, haeleweki kwa mtu mwenye akili timamu na anayezitumia.
mungu alipaswa kujisimamia mwenyewe sote tumjue yeye mmoja na namna moja ya kumfikia.
huko kujifichaficha kwake katuletea matatizo makubwa sana hapa duniani mpaka wengine tumeamua kumpuuza maana haeleweki.
Thread yako sio upuuzi..ila Steve maneno yake ya kipuuziUnajua,such a comment makes you look stupid.Ni hivii,once you have provided such a comment go further,and say why you believe my thread is stupid.That is how intelligent people behave.
I'm not intelligentBado hujaonyesha rationale and intelligence.Tell us why you believe the words of Steve are stupid,be courageous and speak out.
Lazima tukomeshe wajingaCool down brother,muone aibu jamani,dah!
Umesoma Qur an ukaijua ?๐ ๐Sikiliza wewe nikuelimishe.Nimetumia neno "demonic" somewhere nilipokuwa naelezea "Dini." Chochote kinachoitwa Dini au Dhehebu ni demonic,unless you mean Dini as "behaviour."
Christianity is not a religion,ni misnomer.Christianity ni tabia inayofanana na ya Bwana Yesu au Mungu.So Christianity peke yake ndiyo inayom-represent Mungu wholly,because it has the ten commandments and the redemption plan of God.The Torah on the other hand is mostly Jewish culture and the ten commandments which define the righteousness of God,so it does not fully represent God.
The so called Islam is a mixture of three things;the Bible, the Torah, Arab culture especially Wahabism,so the Koran has nothing original,imedokoa dokoa tu hapa na pale,that is why the God of Islam is dubious.If Islam does not have anything original,how can it have a God,it can't,atakuwa wa kugushi gushi tu tu.
Wapo "miungu" wengi duniani,lakini Mungu wa kweli ni mmoja tu.Mungu asiyeweza kuumba chochote;Mungu anayeruhusu wake wanne;Mungu anayeruhusu wanadamu kuuana,tena kwa kisingizio cha Dini;Mungu asiyejua kila kitu;Mungu asiyeweza kila kitu;Mungu asiyekuwepo kila mahali;Mungu asiye na upendo;Mungu anayemshirikisha Shetani katika mifumo yake,huyo sio Mungu ni Mungu hewa,wake up you people,mmedanganywa.Umesoma Qur an ukaijua ?๐ ๐
Jehovah na Allah Yupi na Mungu ? na Mungu wapo wangapi hapa dunia?
Hapa tutatumia maandiko rahisi kabisa wala usilete kingereza cha ugoko kila mtu aelewe.!
Ndo maana nikajua hauna elimu๐ ๐Wapo "miungu" wengi duniani,lakini Mungu wa kweli ni mmoja tu.Mungu asiyeweza kuumba chochote;Mungu anayeruhusu wake wanne;Mungu anayeruhusu wanadamu kuuana,tena kwa kutumia mifumo ya Dini;Mungu asiyejua kila kitu;Mungu asiyeweza kila kitu;Mungu asiyekuwepo kila mahali;Mungu asiye na upendo;Mungu anayemshirikisha Shetani katikร Ibada,huyo sio Mungu,wake up you people,mmedanganywa.