Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha

Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha

Comment yako niu null and void mkuu.

Mkuu the God of the Bible ndiye Mungu wa kweli kwa kuwa Yeye peke yake ndiye aliyejitambulisha na creation,no other.Kwa bahati nzuri no other demonic so called religion has ever claimed that it's "god" is reponsible for creation.Wengine wote ni bla bla tu.

The following clip should be able to convince you that God exists.

View: https://youtu.be/-iuGn9jSPmQ

halafu umesoma biology,genetics? Kama stori za uumbaji ni za kweli, unadhani kwa nini kuna races nyingi hapa duniani wakati mungu alimuumba adam na hawa tu? This means their descendants have to be identical in term of race.
 
Matatizo yenu ni kwamba mnamlinganisha Mungu na wanadamu.Look at the characteristics of God below.There is nothing he can't do(1),and there is nothing he does not know(2),so hata kama hakuumba races tangu Adam na Hawa,He can do it later at a time of His own choosing,hapangiwi.

1.Omnipotence
2.Omniscience
3.Omnipresence
4.Compassion
5.Holiness
6.Immutability
7.Love
8.Transcendence
9.Eternity
10.Sovereignty
11.Good
12.Mercy
 
je, wajua kuwa waislam na wayahudi nao hutumia hizo hadithi za biblia kumuhusu mungu(abrahamic religions)?

Kwa nini kuwe na utata kumuhusu huyu mungu kana kwamba waislam, wakristo na wayahudi wameshindwa kukubaliana kumuhusu?

umewahi kuwa muislam,myahudi na hatimaye mkristo na mwisho kuhitimisha kuwa god due to christianity ndio mungu wa kweli?
Sikiliza wewe nikuelimishe.Nimetumia neno "demonic" somewhere nilipokuwa naelezea "Dini." Chochote kinachoitwa Dini au Dhehebu ni demonic,unless you mean Dini as "behaviour."

Christianity is not a religion,ni misnomer.Christianity ni tabia inayofanana na ya Bwana Yesu au Mungu.So Christianity peke yake ndiyo inayom-represent Mungu wholly,because it has the ten commandments and the redemption plan of God.The Torah on the other hand is mostly Jewish culture and the ten commandments which define the righteousness of God,so it does not fully represent God.

The so called Islam is a mixture of three things;the Bible, the Torah, Arab culture especially Wahabism,so the Koran has nothing original,imedokoa dokoa tu hapa na pale,that is why the God of Islam is dubious.If Islam does not have anything original,how can it have a God,it can't,atakuwa wa kugushi gushi tu tu.
 
Matatizo yenu ni kwamba mnamlinganisha Mungu na wanadamu.Look at the characteristics of God below.There is nothing he can't do(1),and there is nothing he does not know(2),so hata kama hakuumba races tangu Adam na Hawa,He can do it later at a time of His own choosing,hapangiwi.

1.Omnipotence
2.Omniscience
3.Omnipresence
4.Compassion
5.Holiness
6.Immutability
7.Love
8.Transcendence
9.Eternity
10.Sovereignty
11.Good
12.Mercy

unajua hizi sifa zote allah anazo?
Ndio maana nakwambia mungu kajificha sana, haeleweki kwa mtu mwenye akili timamu na anayezitumia.

mungu alipaswa kujisimamia mwenyewe sote tumjue yeye mmoja na namna moja ya kumfikia.

huko kujifichaficha kwake katuletea matatizo makubwa sana hapa duniani mpaka wengine tumeamua kumpuuza maana haeleweki.
 
Mkuu Allah atakuwaje na attributes za a true God,that is unthinkable,Hana kabisa.Hebu niambie,Allah aliwahi kuumba nini,literally nothing.

Finally unataka Mungu ajisimamie,sijui atembee umuone?Very poor thinking. Huyo mnayemuita Allah,ambaye actually is a demonic Spirit umeshawahi kumuona akitembea.Halafu Mungu atajisimamiaje mkuu na Yeye ni Roho hana mwili? Ni lazima kwa hiyo atumie watu kama sisi.Anyway sikio la kufa halisikii dawa tuachane,napoteza muda bure
 
Upuuzi...
Unajua,such a comment makes you look stupid.Ni hivii,once you have provided such a comment go further,and say why you believe my thread is stupid.That is how intelligent people behave.
 
Unajua,such a comment makes you look stupid.Ni hivii,once you have provided such a comment go further,and say why you believe my thread is stupid.That is how intelligent people behave.
Thread yako sio upuuzi..ila Steve maneno yake ya kipuuzi
 
Thread yako sio upuuzi..ila Steve maneno yake ya kipuuzi
Bado hujaonyesha rationale and intelligence.Tell us why you believe the words of Steve are stupid,be courageous and speak out.
 
Sikiliza wewe nikuelimishe.Nimetumia neno "demonic" somewhere nilipokuwa naelezea "Dini." Chochote kinachoitwa Dini au Dhehebu ni demonic,unless you mean Dini as "behaviour."

Christianity is not a religion,ni misnomer.Christianity ni tabia inayofanana na ya Bwana Yesu au Mungu.So Christianity peke yake ndiyo inayom-represent Mungu wholly,because it has the ten commandments and the redemption plan of God.The Torah on the other hand is mostly Jewish culture and the ten commandments which define the righteousness of God,so it does not fully represent God.

The so called Islam is a mixture of three things;the Bible, the Torah, Arab culture especially Wahabism,so the Koran has nothing original,imedokoa dokoa tu hapa na pale,that is why the God of Islam is dubious.If Islam does not have anything original,how can it have a God,it can't,atakuwa wa kugushi gushi tu tu.
Umesoma Qur an ukaijua ?😅😅

Jehovah na Allah Yupi na Mungu ? na Mungu wapo wangapi hapa dunia?

Hapa tutatumia maandiko rahisi kabisa wala usilete kingereza cha ugoko kila mtu aelewe.!
 
Richa ya kusoa hii taarifa na kuona kwamba tupendane sawa nakubali ila marafiki sitawathamin mtanisamehe wakuu [emoji19]
 
Umesoma Qur an ukaijua ?😅😅

Jehovah na Allah Yupi na Mungu ? na Mungu wapo wangapi hapa dunia?

Hapa tutatumia maandiko rahisi kabisa wala usilete kingereza cha ugoko kila mtu aelewe.!
Wapo "miungu" wengi duniani,lakini Mungu wa kweli ni mmoja tu.Mungu asiyeweza kuumba chochote;Mungu anayeruhusu wake wanne;Mungu anayeruhusu wanadamu kuuana,tena kwa kisingizio cha Dini;Mungu asiyejua kila kitu;Mungu asiyeweza kila kitu;Mungu asiyekuwepo kila mahali;Mungu asiye na upendo;Mungu anayemshirikisha Shetani katika mifumo yake,huyo sio Mungu ni Mungu hewa,wake up you people,mmedanganywa.

Jamani hata kwa kutumia logic ya kawaida ya kibinadamu kabisa,you realize that marrying four wives is wrong and unatural.
 
Wapo "miungu" wengi duniani,lakini Mungu wa kweli ni mmoja tu.Mungu asiyeweza kuumba chochote;Mungu anayeruhusu wake wanne;Mungu anayeruhusu wanadamu kuuana,tena kwa kutumia mifumo ya Dini;Mungu asiyejua kila kitu;Mungu asiyeweza kila kitu;Mungu asiyekuwepo kila mahali;Mungu asiye na upendo;Mungu anayemshirikisha Shetani katikà Ibada,huyo sio Mungu,wake up you people,mmedanganywa.
Ndo maana nikajua hauna elimu😅😅

Yaani unashindwa kujua yehovah na Allah ni lugha tu sasa kingereza chote cha nn?.

Kasome Qur an na vitabu zaidi usiwe unafuata mkumbo maana hata waislamu wanshangaa unachoandika hapa.

Wake wanne huoni hata kibailojia na mila za muafrika ni mambo yanaonyesha uhalali wake ,mbona nchi kibao zina adhabu za kufa ...Mungu wako wa bible alisema "atakayeua kwa upanga nae atauliwa kwa upanga".

Kiufupi najua hujui ila unapiga kelele kama utataka kuelew basi tulia na uliza kwa wanaojua .

Kwanza ukristo unakubali "utatu mkatatifu" ambao kwa ujumla ni shirki na sio sifa ya Mungu ,bado kuna yesu nae ni Mungu😅😅😅.

Ntakupa tu ujuzi kuhusu vitabu kama unaamini Mungu ni mmoja basi hata wajumbe wake (Mitume) kama wametumwa na yeye basi watafanana ka kila kitu na wala hawatopingana katika vitabu vyao ....Watu wametumwa kwa ummah ambazo vizazi vinaendelea mpaka leo je huyu Mungu atume Mussa halafu then amtume tena Issah ndio Muhammad halafu useme kwamba awape vitabu vinapingana huoni kama ni ubabaishaji?

Qur an katika kuja kwake ilishasema imekuja kusadifu yalipita kama yake yake yaani yaliamrishwa kupitia vitabu ...Sasa nakupa kaangalie hata hao wanajiita ukristo kweny muenendo wamanfuata yesu au bible yao ?

Mbona unasema bible ni ina torati! Halafu Qur an ije kupingana na torati na zaburi mpaka injili ya Issah wakati wao wote walitumwa na Mungu mmoja ?

Sioni hoja yao zaidi ni kwamba kasome Qur an na vitabu uje hapa tuchambue maana hata Mungu humjui😅😅.
 
Back
Top Bottom