Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
HAAHAHA AISE UNATUFUNDISHA TABIA MBAYA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAAHAHA AISE UNATUFUNDISHA TABIA MBAYA
Hawa wa hivi[emoji867][emoji867] ndio huishi zaidi kwakuwa hawana mambo mengi maishani mwao, na hivyo wanafurahia maisha kwa ukomo wake.Huu uzi unanikumbusha kuna mwamba mmoja umwambii kitu kuhusu kujenga japo anapesa ukimuuliza anakwambia awez kujenga safarini anasubili afike huko aendako kama ni mbinguni au ahera ndio atafanya ujenzi
Really?Sio kweli,watu wa hivi huishi muda mfupi sana kwa kuwa wanazama kwenye dhambi,na kumbuka kwamba dhambi inaua,na Mungu sio mwanadamu hata adanganye.Hawa wa hivi[emoji867][emoji867] ndio huishi zaidi kwakuwa hawana mambo mengi maishani mwao, na hivyo wanafurahia maisha kwa ukomo wake.
Badala ya kutubu na kumrudia Mungu, unatamani kuzidi kuzama kwenye uovu?!Hapana mkuu,tubu,acha uovu umrudie Mungu,the World has nothing tangible to offer you,ni udanganyifu mtupu.Afterall our time in this evil World is extremely short.
Usije ukapenda kula kuliko kumpenda Bwana Yesu lakini,in that case kula itakuwa your "idol.""Maisha ni simple tu ukifa unaingia kaburini."
"Uwe na upendo, uwe na amani, saidia rafiki zako na Mungu atakusaidia pia."
"Nampenda Yesu. Napenda kula."
Cha ajabu zaidi ni dunia na jinsi tunavyoipenda,Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha.
“Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha yangu ni mafanikio. Hata hivyo, kando na kazi yangu, nilikuwa na furaha kidogo sana.Mwishowe, utajiri ni ukweli tu ambao nimeuzoea.
Katika wakati huu, nikiwa nimelala katika kitanda changu cha hospitali, na kukumbuka maisha yangu yote, ninatambua kwamba umaarufu wote, na utajiri ambao nilijivunia sana, umebadilika na kuwa duni mbele ya kifo kilichoko mbele yangu..
Unaweza kuajiri mtu aendeshe gari lako au kupata pesa kwa ajili yako, lakini huwezi kuajiri mtu wa kubeba ugonjwa na kufa kwa ajili yako.Vitu vilivyopotea vinaweza kupatikana. Lakini kuna jambo moja ambalo haliwezi kupatikana wakati limepotea, "maisha".
Tukiwa katika hatua yoyote ya maisha, baada ya muda tutakabiliana na siku ambayo pazia litafungwa mbele yetu. Penda familia yako, Mwenzi wako na marafiki. Watendee mema,watunze.
Kadiri tunavyozeeka na kuwa na hekima zaidi, tunatambua polepole kwamba kuvaa saa ya $300 au $30 zote mbili hutoa wakati mmoja.Tuwe na pochi ya $300 au mkoba au $30, kiasi ndani ni sawa.Tunaendesha gari la $150,000 au gari la $30,000, njia na umbali ni sawa, na tunafika mahali pale pale. Iwe nyumba tunayoishi ni futi za mraba 300 au 3000, upweke ni uleule. Kwa jinsi hiyo utatambua kwamba furaha yako ya kweli ya ndani haitokani na vitu vya kimwili vya ulimwengu huu,bali na Mungu.
Iwe unasafiri kwenye ndege daraja la kwanza au daraja la uchumi, ndege ikishuka, unashuka nayo. Kwa hiyo natumai unagundua kuwa unapokuwa sawa na Mungu, una marafiki, kaka na dada, ambao unazungumza nao, unacheka nao, unaimba nao, unazungumza juu ya kaskazini kusini na mashariki au mbingu na dunia hiyo ndio furaha ya kweli!
Huu ndio ukweli usiopingika wa maisha: Usiwasomeshe watoto wako kuwa matajiri. Wafundishe kumjua Mungu, kwa njia hiyo watakuwa na furaha ya kweli. Kwa njia hiyo, watakapokuwa wakubwa watajua thamani ya vitu na sio bei.
Maisha ni nini. Ili kuelewa maisha vizuri, kuna maeneo matatu:
~HOSPITALI
~ GEREZANI
~ KABURINI
Hospitalini utaelewa kuwa hakuna kitu bora kuliko AFYA.
Ukiwa gerezani, utaona kwamba uhuru ni kitu cha thamani sana.
Kwenye kaburi, utagundua kuwa maisha sio chochote.
Ardhi tunaokanyaga leo ndio paa letu la kesho.
Habari mbaya: tulikuja HATUNA kitu na tutaondoka bila KITU. Kwa hivyo tuwe wanyenyekevu kuanzia sasa na kumshukuru Mungu kwa YOTE.
Tafadhali peleka ujumbe huu kwa watu wengine, ili wajue kwamba Mungu anawapenda.
96% ya watu hawatapeleka ujumbe huu kwa wengine, lakini kama wewe ni mmoja wa 4% waliosalia, peleka ukweli huu kwa wengine. Mungu akubariki sana.
Stress kibao, mtu hupumziki unatafuta maisha tu na hata ukishapata bado unataka zaidi, unachipata nacho huna hata muda wa kukitumia kwa raha...matokeo yake tunaishi hatuna hata furaha.Yani inashangaza utadhani tutabaki milele mpaka kifikia kuuwana wakati maisha yetu hapa tunapita tu
Wanachokaga vibaya mrija ukikata wakianza daiwa kodi ufa mapema kwa majutoHuu uzi unanikumbusha kuna mwamba mmoja umwambii kitu kuhusu kujenga japo anapesa ukimuuliza anakwambia awez kujenga safarini anasubili afike huko aendako kama ni mbinguni au ahera ndio atafanya ujenzi
🖕🖕🖕🖕🖕Adhania kuwa hana dhambi ajidanganya.
Hakika mkuu na jamaa anaishi maisha simple sanaHawa wa hivi[emoji867][emoji867] ndio huishi zaidi kwakuwa hawana mambo mengi maishani mwao, na hivyo wanafurahia maisha kwa ukomo wake.
hata uishi vipi utakufa tuBadala ya kutubu na kumrudia Mungu, unatamani kuzidi kuzama kwenye uovu?!Hapana mkuu,tubu,acha uovu umrudie Mungu,the World has nothing tangible to offer you,ni udanganyifu mtupu.Afterall our time in this evil World is extremely short.
Mademu wa Instagram wao sana.Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha.