Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha

Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha

Huzuiwi Kuutafuta pesa mkuu,ila mtangulize Mungu kwanza in everything you do.Money without God ends you up in catastrophe,ruin and.sorrow.

ni mungu gani huyu anayemzungumzia tunayepaswa kumtafuta? Jehova au allah ?
 
mmeanza lini kuombea nchi na viongozi? Na amefanya nini mungu mpaka hivi sasa?
Ameiepusha nchi yetu na vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu Uhuru.Ameipusha nchi yetu pia na mapinduzi ya kijeshi.Utakumbuka kwamba vikundi vya kigaidi vinavyofadhiliwa na hasa Marekani vinasumbua nchi nyingi za Africa,our country has been spared,haya ni matunda ya maombi ya watakatifu.Usisahau kwamba majanga mbali mbali yanazikumba nchi nyingi Sasa,our country has been spared.Lipo fukuto la swala la Bandari,tunaendekea kuiombea nchi yetu ili kama ni mapenzi yake YEHOVA, somehow in anyway He sees it fit,tatizo hili liishe salama.Mungu anatenda mkuu.
 
Shaggy .ft. Rayvon, Wimbo "Angel"

[emoji445]Life is one big party when you're still young, But who's gonna have your back when it's all done

It's all good when you're little, You have pure fun.[emoji445]
Unserious business is unwelcome in serious business.
 
Allah sio Mungu mkuu,yupo Mungu mmoja tu wa kweli,YEHOVA.

kwa nini huyu yehova kaamua kujifichaficha sana na hajataka tumjue kama yeye?

the fact is unaamini mungu wa kweli ni yehova kwa sababu umezaliwa katika familia ya waamini wa yehova. Yehova anawasaidiaje wale waliozaliwa katika familia ya waamini wa allah ili wamjue yeye ndio kweli?

kwa nini kaamua kuwa mtata sasa huyu yehova na kutuacha sisi tunaotaka kumtafuta kushindwa kumuelewa?

una uthibitisho gani kuwa mungu wa kweli ni yehova?
 
Ameiepusha nchi yetu na vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu Uhuru.Ameipusha nchi yetu pia na mapinduzi ya kijeshi.Utakumbuka kwamba vikundi vya kigaidi vinavyofadhiliwa na hasa Marekani vinasumbua nchi nyingi za Africa,our country has been spared,haya ni matunda ya maombi ya watakatifu.Usisahau kwamba majanga mbali mbali yanazikumba nchi nyingi Sasa,our country has been spared.Lipo fukuto la swala la Bandari,tunaendekea kuiombea nchi yetu ili kama ni mapenzi yake YEHOVA, somehow in anyway He sees it fit,tatizo hili liishe salama.Mungu anatenda mkuu.

unataka kusema hizo nchi zinazopata hayo matatizo hawamuombi huyo yehova??

kwa nini hatupatii majibu ya matatizo sugu kama katiba yanayotutesa mpaka hii leo?

china hawamjui yehova lakini hakuna vita vya wenyewe kwa wenyewe, mapinduzi ya kijeshi, wala vikundi vya kigaidi.
 
kwa nini huyu yehova kaamua kujifichaficha sana na hajataka tumjue kama yeye?

the fact is unaamini mungu wa kweli ni yehova kwa sababu umezaliwa katika familia ya waamini wa yehova. Yehova anawasaidiaje wale waliozaliwa katika familia ya waamini wa allah ili wamjue yeye ndio kweli?

kwa nini kaamua kuwa mtata sasa huyu yehova na kutuacha sisi tunaotaka kumtafuta kushindwa kumuelewa?

una uthibitisho gani kuwa mungu wa kweli ni yehova?
YEHOVA hajajificha hata kidogo.Kama kajificha mimi nimejuaje kama Yupo.Anapatikana na amejifunua katika kitabu kiitwacho Biblia kupitia kwa Mwanawe aitwaye Bwana Yesu.Soma kitabu hiki utamjua.Ukikisoma kitabu hicho utajua pia mapenzi Yake kwako na kwa wanadamu wote.
 
Umevuta ya wapi Kapiri Mposhi (Zambia) au Bulawayo (Zimbabwe)?
Unajifanya mtakatifu wakati tabia zako za kuwafata unaodhania mademu PM na kuanza kuwachatisha unajua To yeye analambwa kisimi, sijui kutombwa n.k mambo machafu jatuzijui

Kaaa mbali la sivyo nitakuaibisha
 
😂😂😂 We kwani vipi Mzee umepatwa na nini? Jokes & chitchats nani anakuzuia kuzifanya? Ukitaka na wewe nenda PM kwa To yeye au Beesmom kafanye hizo chitchats umekatazwa? Alafu usinipangie jinsi ya kuishi JF out of JF Mimi ni mtu mwingine kabisa usinizoee
Nani kakuzoea?
Uliwahi ona nimequote reply yako?
Ili wewe sindo umefanya?
Nimejuaje?
Ila sindo ninakwambia kijana wa hovyo chumba kimoja na kisabufa unaona umeyapatia, sikuoangii ni ushauri tu unaweza endelea kufanya ila kwa ulio wazoea ukizingua utabananishwa ndipo utakapo elewa
 
Unajifanya mtakatifu wakati tabia zako za kuwafata unaodhania mademu PM na kuanza kuwachatisha unajua To yeye analambwa kisimi, sijui kutombwa n.k mambo machafu jatuzijui

Kaaa mbali la sivyo nitakuaibisha
Cool down brother,muone aibu jamani,dah!
 
Maneno ya mwisho ya Steve Jobs, bilionea ambaye alikufa akiwa na umri wa miaka 56 kuhusu maisha.

“Nimefikia kilele cha mafanikio katika ulimwengu wa biashara. Katika macho ya wajinga, maisha yangu ni mafanikio. Hata hivyo, kando na kazi yangu, nilikuwa na furaha kidogo sana. Mwishowe, utajiri ni ukweli tu ambao nimeuzoea.

Katika wakati huu, nikiwa nimelala katika kitanda changu cha hospitali, na kukumbuka maisha yangu yote, ninatambua kwamba umaarufu wote, na utajiri ambao nilijivunia sana, umebadilika na kuwa duni mbele ya kifo kilichoko mbele yangu.

Unaweza kuajiri mtu aendeshe gari lako au kupata pesa kwa ajili yako, lakini huwezi kuajiri mtu wa kubeba ugonjwa na kufa kwa ajili yako.Vitu vilivyopotea vinaweza kupatikana. Lakini kuna jambo moja ambalo haliwezi kupatikana wakati limepotea, "maisha".

Tukiwa katika hatua yoyote ya maisha, baada ya muda tutakabiliana na siku ambayo pazia litafungwa mbele yetu. Penda familia yako, mwenzi wako na marafiki. Watendee mema,watunze.

Kadiri tunavyozeeka na kuwa na hekima zaidi, tunatambua polepole kwamba kuvaa saa ya $300 au $30 zote mbili hutoa wakati mmoja.Tuwe na pochi ya $300 au au ya $30, kiasi cha pesa kilichoko ndani ni sawa.Tunaendesha gari la $150,000 au gari la $30,000, njia na umbali ni sawa, na tunafika mahali pale pale. Iwe nyumba tunayoishi ni futi za mraba 300 au 3000, upweke ni uleule. Kwa jinsi hiyo utatambua kwamba furaha yako ya kweli ya ndani haitokani na vitu vya kimwili vya ulimwengu huu,bali na Mungu.

Iwe unasafiri kwenye ndege daraja la kwanza au daraja la uchumi, ndege ikishuka, unashuka nayo. Kwa hiyo natumai unagundua kuwa unapokuwa sawa na Mungu, una marafiki, kaka na dada, ambao unazungumza nao, unacheka nao, unaimba nao, unazungumza juu ya kaskazini kusini na mashariki au mbingu na dunia, hiyo ndio furaha ya kweli!

Na huu ndio ukweli usiopingika wa maisha: Usiwasomeshe watoto wako kuwa matajiri, wafundishe kumjua Mungu,Yeye atawapa utajiri. Kwa njia hiyo watakuwa na furaha ya kweli. Kwa njia hiyo pia watakapokuwa wakubwa watajua thamani ya vitu na sio bei.

Maisha ni nini? Ili kuelewa maisha vizuri, kuna maeneo matatu:

~HOSPITALI
~ GEREZANI
~ KABURINI

Hospitalini utaelewa kuwa hakuna kitu bora kuliko AFYA.
Ukiwa gerezani, utaona kwamba UHURU ni kitu cha thamani sana.
Kwenye kaburi, utagundua kuwa MAISHA sio chochote.
Ardhi tunaokanyaga leo ndio paa letu la kesho.

Habari mbaya: tulikuja HATUNA kitu na tutaondoka bila KITU. Kwa hiyo tuwe wanyenyekevu na kumshukuru Mungu kwa kila jambo.
========================
NB
Tafadhali peleka ujumbe huu kwa watu wengine, ili wapate taarifa hii muhimu.

96% ya watu hawatapeleka ujumbe huu kwa wengine, lakini kama wewe ni mmoja wa 4% waliosalia, peleka ukweli huu kwa wengine. Mungu akubariki sana.
Hii ni fake na Wala hayo hayakusemwa Wala kuandikwa na Steve Jobs.

Ni maneno ya kutungwa na waongo wa dunia.

Hii message ilianza kuonekana kwenye mitandao mwaka 2015 ikiwa ni miaka minne baada ya kifo Cha Steve.

Ujumbe Huu haukutambuliwa na dadake ambaye Ndiye alikuwa anamuuguza Wala mtoto wake na Wala Partner wake. Wote wamekanusha Steve kuongea hayo au kuandika hayo.
 
Ulimwengu wa computer una mengi mkuu
 
YEHOVA hajajificha hata kidogo.Kama kajificha mimi nimejuaje kama Yupo.Anapatikana na amejifunua katika kitabu kiitwacho Biblia kupitia kwa Mwanawe aitwaye Bwana Yesu.Soma kitabu hiki utamjua.Ukikisoma kitabu hicho utajua pia mapenzi Yake kwako na kwa wanadamu wote.

kabla hujasoma hiyo biblia ,umesoma vitabu vya dini vingine vingapi? Kama hukuanza kusoma vingine mpaka kuja kuifikia hiyo biblia basi hauna haki ya kusema yehova ni mungu wa kweli.
 
Imenitafakarisha, kufurahi na wapendwa, familia yako ni kila kitu.

NB;
Kuna muda nilikua busy sana na kazi mpaka kua mbali na familia... mpk mama akanambia am 4 real Ndugu na watu wengi wanakusema upo kivyako vyako nakushaur punguza huo busy wako Tenga muda wa kuwa na ndugu na watu wako....

MUNGU YUPO BUSY ZAIDI YAKO.
 
Hii ni fake na Wala hayo hayakusemwa Wala kuandikwa na Steve Jobs.

Ni maneno ya kutungwa na waongo wa dunia.

Hii message ilianza kuonekana kwenye mitandao mwaka 2015 ikiwa ni miaka minne baada ya kifo Cha Steve.

Ujumbe Huu haukutambuliwa na dadake ambaye Ndiye alikuwa anamuuguza Wala mtoto wake na Wala Partner wake. Wote wamekanusha Steve kuongea hayo au kuandika hayo.
Well,nikujibu hivi,hata kama huo ujumbe sio Steven aliyeandika,what is wrong with it basically.Ndani ya ujumbe huo mbona kumejaa hekima nyingi tu,na ni ushauri mzuri kwa kila mtu.Mimi binafsi nauchukulia ujumbe huo kama ushauri binafsi bila kujali nani kauandika na nauchukulia kama ushauri murua kabisa.It is the message that matters,sio nani kauandika.

Hakuna shaka yeyote kwamba nia yako ni ku-waterdown message nzuri iliyopo kwenye huo ujumbe,hasa kwa vile Mungu ametajwa humo.
 
kabla hujasoma hiyo biblia ,umesoma vitabu vya dini vingine vingapi? Kama hukuanza kusoma vingine mpaka kuja kuifikia hiyo biblia basi hauna haki ya kusema yehova ni mungu wa kweli.
Comment yako niu null and void mkuu.
kabla hujasoma hiyo biblia ,umesoma vitabu vya dini vingine vingapi? Kama hukuanza kusoma vingine mpaka kuja kuifikia hiyo biblia basi hauna haki ya kusema yehova ni mungu wa kweli.
Mkuu the God of the Bible ndiye Mungu wa kweli kwa kuwa Yeye peke yake ndiye aliyejitambulisha kuwa He is responsible for creation,no other.Kwa bahati nzuri no other demonic so called religion has ever claimed that it's "god" is reponsible for creation.Wengine wote ni bla bla tu.

The following clip should be able to convince you that God exists.

View: https://youtu.be/-iuGn9jSPmQ
 
Comment yako niu null and void mkuu.

Mkuu the God of the Bible ndiye Mungu wa kweli kwa kuwa Yeye peke yake ndiye aliyejitambulisha na creation,no other.Kwa bahati nzuri no other demonic so called religion has ever claimed that it's "god" is reponsible for creation.Wengine wote ni bla bla tu.

The following clip should be able to convince you that God exists.

View: https://youtu.be/-iuGn9jSPmQ

je, wajua kuwa waislam na wayahudi nao hutumia hizo hadithi za biblia kumuhusu mungu(abrahamic religions)?

Kwa nini kuwe na utata kumuhusu huyu mungu kana kwamba waislam, wakristo na wayahudi wameshindwa kukubaliana kumuhusu?

umewahi kuwa muislam,myahudi na hatimaye mkristo na mwisho kuhitimisha kuwa god due to christianity ndio mungu wa kweli?
 
Back
Top Bottom