Maneno ya Nabi kuelekea mchezo wao wa nusu fainali

Maneno ya Nabi kuelekea mchezo wao wa nusu fainali

Yaani ikimpendeza kwenye hiyo mechi ya keshokutwa, afanye vile vile. Bacca na Mwamnyeto waanze katikati, Job aende 2 na Kibwana Shomari acheze 3, ili kuongeza kasi ya mchezo.

Halafu katikati ajaze viungo wengi! Na mbele wacheze wachezaji wenye uwezo wa kufunga. Siyo Clement Mzize, anayepata nafasi 10, na kufanikiwa kufunga nafasi moja pekee.
Lomalisa hana namba?
 
Mechi dhidi ya simba alicheza slow sana kiasi cha mwalimu kumpumzisha.
Ile mechi wachezaji wote walikuwa hawana utulivu sio Lomalisa peke yake. Katikati mipira watu wanapoteza mipira tu, timu nzima ilikosa maelewano nahisi goli la mapema na maamuzi ya hovyo iliyozaa kona la goli ndio imewafanya watoke mchezoni.
 
Baada ya Mechi ya simba bacca kuwa benchi coach amemrudisha Kwenye kuanza Mechi zote na rivers Hata na singida , nafikiri Aliona mapungufu na akayafanyia kazi .
Marumo wana striker wao anaitwa chivavaro Ni Hatari inabidi awe chini ya ulinzi wa bacca
Chovavaro ni Idris Mbombo mtupu.
 
Back
Top Bottom