GE2025 Maneno ya Polepole hayawasaidii Watanzania kwa sasa, ni unafiki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

HAKI KWA WOTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
2,783
Reaction score
2,396
Kuitumikia kwake serikali na viongozi fisadi na akakubali kuteuliwa nyadhifa mbalimbali serikalini akiyajua yoooote haya na kukaa nayo kimya ni wazi alikuwa ananufaika na huo uozo!!

Nivyema akawashitaki wote anaowatuhumu kwa makosa yao siyo kuwatonesha vidonda watanzania ni uhuni.
 
Uzalendo wake ukaisha aliposhika nyadhifa Ccm.Nikamdharau kabisa
 
Kaa kwa kutulia uvuliwe nguo mwanmtandao
 
Daaah
 
Pole Sana ila amefunguka mengi mazito leo
 
Acha uhuni!
 
Mbona naona utekaji kwa wanasiasa umesimama tangu wamteke Dada yake.
Hilo pekee yake imetusaidia Watanzania.
Lakini pia kuna mengi tumeyajua kupitia yeye
 
Elewa kauli yake kuwa alikuwa anapush mambo yaende lakini hayaendi akaona isiwe tabu ngoja ajitoe asiwe sehemu ya huo mfumo
 
Akili yako fupi huwezi kuelewa pole
 
Ni kweli unayoongea ni to let bado miezi michache watu wachague raisi

Lakini pia ccm wanakuaga na Mbinu za ajabu sana unaweza Kuta kapewa kazi ya kuwapumbaza wapinzani
Bora ww umetambua hivyo. Wengine wamekaza fuvu kumuamini.
 
Mnafiki ni wewe mjinga na zombie. Sisi yanatusaidia mno. Hakika polepole ametutendea haki. Matapeli ya kijani yamejulikana sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…