Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Kiapo kinamzuia asivuke mpaka, elewa hiyo.Uzalendo wake ukaisha aliposhika nyadhifa Ccm.Nikamdharau kabisa
Kwani yeye ni wa kwanza kufunguka hivyo?Pole Sana ila amefunguka mengi mazito leo
Kwa akili zako za kisoda huwezi ukaelewa kuwa polepole yuko kazini na ccm iko nyuma yake,ujinga wa waTz kama wewe mliowengi mmekufa mnasubiri kuzikwa na hii inatokana na kutofikiri nje ya boksi.Mtoa haja acha zako Hakuna unafiki hapo ila wewe ndiye mnafiki unayeelewa anacho kisema na kujifanya huelewi. Anayosema yana tija kwa Taifa, CCM na vyombo. Ukiwa na kichwa sungwi huwezi kuelewa.
Muulize kuna lowasa,sumaye,mrema,silaa,mbowe,n.k. bora akili kuliko utajiri,waTz ni maiti wabadilishie muziki tu ila muimbaji waachie yuleyuleKwani yeye ni wa kwanza kufunguka hivyo?
Mnafiki ni wewe mjinga na zombie. Sisi yanatusaidia mno. Hakika polepole ametutendea haki. Matapeli ya kijani yamejulikana sasa
Haya polepole kama anawasaidia mbona Samia kaxhukua fomu ya kugombea pamoja na makelele yake?amemfanya nini?Mtoa haja acha zako Hakuna unafiki hapo ila wewe ndiye mnafiki unayeelewa anacho kisema na kujifanya huelewi. Anayosema yana tija kwa Taifa, CCM na vyombo. Ukiwa na kichwa sungwi huwezi kuelewa.
Ukishayajua yanatusaidia nini?.Hivi ikiwa mtu anafanya mambo mabaya alafu badae ndo anaibuka kujifanya hayafurai yanayofanywa na wenzake hiyo inatusidia nini kama taifa?.Ufumbuzi sio kufanya madudu alafu ugeuke kujifanya mwema maana sisi sio Mungu kwamba unatubu kwetu wakati huo kuna watu uliumiza ndugu zao,ufumbuzi ni kutokufanya mabaya kabisa na kutojifungamanisha kabisa na mabaya.Kumuunga mkono shetan aliyejigeuza malaika ni ujinga kama ujinga mwingine,once a devil is always a devil.Asingeshinga hizo nyadhifa, haya anayoyasema leo angeyajulia wapi?
Baada ya miezi mitano polepole kusahaulika ataibuka tena mwingine kuwapiga porojo zakuwafariji yatajitokeza majinga kushangilia..Watu wanaongozwa na mihemko kuliko akili.Kwa akili zako za kisoda huwezi ukaelewa kuwa polepole yuko kazini na ccm iko nyuma yake,ujinga wa waTz kama wewe mliowengi mmekufa mnasubiri kuzikwa na hii inatokana na kutofikiri nje ya boksi.
Hata lowasa,kingunge,sumaye,nk wamewahi kuucheza mchezo huu.
WATANZANIA siyo wa kuonewa huruma kwani 90% ni maiti kama wewe wenye akili ni 10% tusiojishughulisha na siasa au dini.
Mnabadilishiwa nyimbo na picha tu wanamuziki na walewale.
Sikufahamu, haunifahamu..Ni kweli unayoongea ni to let bado miezi michache watu wachague raisi
Lakini pia ccm wanakuaga na Mbinu za ajabu sana unaweza Kuta kapewa kazi ya kuwapumbaza wapinzani
Maneno ya HP ni yamhimu sana kwa sasa yanawafungua macho, masikio, na akili Watanzania wote na wanaandaliwa vyema kisaikolojia kuliko kushitukizwa.Kuitumikia kwake serikali na viongozi fisadi na akakubali kuteuliwa nyadhifa mbalimbali serikalini akiyajua yoooote haya na kukaa nayo kimya ni wazi alikuwa ananufaika na huo uozo!!
Nivyema akawashitaki wote anaowatuhumu kwa makosa yao siyo kuwatonesha vidonda watanzania ni uhuni.
Kila kitu kina hatua haya hayo ma eno yamewasaidia au kubadilisha nini kwa waTz kisaikolojia na kiakili hadi sasa kwa kiasi gani?Maneno ya HP ni yamhimu sana kwa sasa yanawafungua macho, masikio, na akili Watanzania wote na wanaandaliwa vyema kisaikolojia kuliko kushitukizwa.