Maneno ya Polepole mwishoni Maridhiano baada ya Uchaguzi ni utapeli Wazee wenye heshima wamenunuliwa tuwakatae

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Aya maneno huwa nayafafakari sana kwamba wazee alikua wanawaheshimu wamenunuliwa siku hiyo akapotea hewani akazimika kama mshumaa. Emanuel Nchimbi alisema kama anakitu cha kuwashauri watanzania tupiganie katiba mpya hawa wote wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hakuna anaejali. Ukitafakari mambo ya Polepole ni kama alijua baada uchaguzi nini kinafuata alikua mbele ya Mda Wazee wenye heshima wamenunuliwa tuwatae
 
Yanasikitisha sana ila ccm inatengeneza history mbaya sana JAPO wanaona ndio mtindo mzuri kwao kutuongoza
 
Aya maneno huwa nayafafakari sana kwamba wazee alikua wanawaheshimu wamenunuliwa siku hiyo akapotea hewani akazimika kama mshumaa. Emanuel Nchimbi alisema kama anakitu cha kuwashauri watanzania tupiganie katiba mpya hawa wote wamepotea kwenye mazingira ya kutatanisha hakuna anaejali. Ukitafakari mambo ya Polepole ni kama alijua baada uchaguzi nini kinafuata alikua mbele ya Mda Wazee wenye heshima wamenunuliwa tuwatae
NASISITIZA HILI KWA HERUFI KUBWA.
 
Halafu Pole Pole yale yote aliyokuwa anayasema siku zake za mwishoni ndio haya tunayoyashudia sasa, ila nakumbuka kitu kimoja alichosema Pole Pole, baada ya uchaguzi huo unaokuja ambao viongozi wameshupaza shingo kwa kuvunja taratibu, nchi hii haitakuwa kama ilivyokuwa, wengi tulimpuuza! kumbe mwenzetu aliweza kuona mbali zaidi.
 
ukifuatilia clps alikua kama nabii alisema unaweza kua Rais lakini ukakosa uhalali wa kisiasa wengi wetu hapa Tunajua Samia alifanyia kiapo chake jeshidi uko sio mbele ya jamii uhalali wa kisiasa hana
 
Ni kama watu walimuelewa zaidi Pole Pole, aliyokuwa anayasema ndio yametokea kwa 100%.
 
Back
Top Bottom