Maneno ya wachambuzi mbalimbali kuhusu Yanga

Unajua nini hawa wachambuzi wakinena yasiyopendezwa na mashabiki wa timu flani wananangwa sana,ila wakileta yanayopendwa kusikiwa wanakua lulu.
Tatizo ni pale yanayonenwa yasitokee kwa mujibu wa kauli zao ndo panakuwa na shida..!!! Unakumbuka waliposema Yanga imesajili wacheza masebene..!?? Nini kikafuata?
 
Well said....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…