Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 752
The impermanence circle in the permanent realmTeuwa
Tenguwa
Zinduwa
Front fetNikumbusheni habari za mbele gazetini inaitwaje kwa kiingeleza?
Kuna mahali umeusahau uchochezi!!!#Salute..
View attachment 500282
Katika hali ya kawaida,tumezoea kila wiki,mwezi na hata mwaka kuna maneno yanayoongelewa zaidi kwenye jamii,mitandaoni na sehemu zingine kuliko kawaida.
Katikaa pita pita kwenye mitandao,na jamii nyingi kwa upande wa dar maneno haya chini yametajatwa zaidi tangu mwishoni mwa mwaka jana hadi leo
1.uhakiki
2.dikiteta uchwara
3.kuisoma namba.
4.Magu*
5.Elimu bure.
6.Njaa.
7.Ben saanane
8.Bashite.
9.
10.Kuteka.
Niombe taja mkoa/wilaya na neno la 9 lilitajwa sana hapo ulipo.
Nikumbusheni habari za mbele gazetini inaitwaje kwa kiingeleza?
Lakin kasema huko uliko jaza mkoa au wilaya na neno lilotamkwa sana ili kujza namba 9 au mim nimelewa visvyomimi sipo Dar ngoja nipite hivi
Kakosea nin maskink,au ndo ww kutusi ni kipaji umejaliwa?Acha ungese