Maneno yaliyowahi kuleta mijadala kwenye jamii

Maneno yaliyowahi kuleta mijadala kwenye jamii

Waliozoea kuishi kama malaika sasa wataanza kuishi kama mashetani....
PJM
 
Hizi sijui alizungumza nani mtanikumbusha "Saddam Hussain ni raisi wa kuwait na hii nyengine, babu yangu zama hizo za ukoloni aliwahi kunihadithia kuwa kuna mwaka wajeremani walituambia tupige mbizi kama hatuna sent miambili.
 
Iliwahi kunenwa "Taifa stars ikiishinda misri nak'nya ubungo mataa"
 
Basala fedha ziende kujenga madawati,maabara na barabara zinaenda kuwalipa vilaza-JPM
 
Nilikuwa nasubiri wanafunzi wa UDOM nao wagome wangeondoka wote-- JPM
 
Back
Top Bottom